Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Hapo Vip
Vladimir-Putin-with-a-gas-pipeline_trans_NvBQzQNjv4BqNUHzxaamNmHDqK-YksWRz2o-yMLyYquKCawpyDOW254.jpg
i
 
Marekani na Ukraine zinalalamika kuwa Urusi imeikatia Umeme Kyiv toka kwenye mtambo mkubwa wa nyuklia wa kufua umeme uliokuwa mali ya Ukraine kabla ya kuanza vita vya Ukraine. Mtambo huonwa nyuklia wa Zaporizhzhia ndio mtambo mkubwa zaidi kwa Ulaya nzima, na umo kwenye top 10 ya mitambo mikubwa ya nyuklia duniani. Kwa sasa ni mali ya Urusi.

Kwa kweli huu ni udhaifu wa hali ya juu aisee. Zelensky anasema kwa huzuni, huku machozi yakimbubujika kwa uchungu, kuwa mtambo ulijengwa na Ukraine ili uwasaidie waUkraine, inakuwaje mtambo huo unaondolewa kwenye grid ya taifa la Ukraine?! Hadi Ikulu ya Kyiv imakatiwa umeme?! Halafu cha kushangaza umeme wote wameelekezwa kwenda Jamuhuri za Watu wa Luhansk na Donetsk?

Mwambieni Biden na Zelensky watulie...hizo ndio faida za kushindwa vita. Walifanya udhaifu mkubwa sana kushindwa vita ya kuulinda mtambo huo mpaka ukaangukia mikononi mwa majeshinya Urusi. Kama wanataka umeme, waende wakaukomboe mtambo, sio kulialia hapa.
=====

US warns Moscow not to divert power from Ukraine nuclear plant​

Europe's largest nuclear facility has been occupied by Russian troops​

By AFP​

Published: Fri 26 Aug 2022, 6:54 AM

On Thursday, Washington warned Russia against diverting energy from a nuclear plant Kyiv says was cut off from its grid, as calls mount for an independent inspection of the facility.

Ukraine's Zaporizhzhia nuclear plant is under occupation by Moscow's troops and was disconnected from the national power supply on Thursday, the state energy operator said.

"The electricity that it produces rightly belongs to Ukraine, and any attempt to disconnect the plant from the Ukrainian power grid and redirect to occupied areas is unacceptable," State Department spokesman Vedant Patel told reporters.

"No country should turn a nuclear power plant into an active war zone and we oppose any Russian efforts to weaponize or divert energy from the plant," he added.
Mkuu unateseka sana na Ukraine [emoji1787]
 
Wana maneno ya kashfa eti mtambo wa zamani - ukiwahoji hivi nuclear power reactors zinazo zalisha umeme barani Ulaya zilijengwa tokea miaka gani? - hawana habari!! Wanacho jali wao ni kumzodoa Putin kwa maneno ya shombo tu - hawana habari za maana wanazo changia hapa - yaani jukwaa zima la JF limegeuzwa kijiwe cha mipasho ya taarabu za Khadija Kopa - sio tena JF ya zamani ambayo members walikuwa wanajifunza mambo mengi na kubadirishana mawazo - wanakubaliana kutokubaliana bila ya kumtukana members yoyote - not any more, I am afraid, nimeshuhudia some members wanafikia mpaka hatua kuwatusi members wenzao matusi ya nguoni, wakati mwingine eti wanavuta bangi, eti wana akili finyu eti vichaa - yaani wana andika chochote kinacho kinacho wajia kichwani bila ya kufikiria mara mbili mbili.

Niwaombe Mods warekebishe ujinga huu kabla haujavuka mipaka - otherwise members wenye morals zao wataacha kuchangia au wataondoka kabisa - social media za wenzetu uangalia contents za mchangiaji kama zinaonekana kuwakwaza member zinawekewa pini ie zinafutiliwa mbali bila ya kuonekana kwenye forum au muhusika anakuwa rebuked on the spot - bahati nzuri members wenye hulka/traits za kuwatukana members wenzao wanajulikana - sasa sijui tatizo ni ukosefu wa elimu ya kutosha, malezi au plain arrogance na bullying - in short ni deep seated pychological problem - Wakenya na Wazambia hawana tabia hizi za kwetu, binadamu kwa binadamu wanaheshimiana sana sana, sisi hapa kwetu everything goes!!
Umeongea ukweli Mkuu, ndio maana wale Critical Thinkers wa JF enzi wamejitoa wote sababu ya mipasho na maneno ya shombo ya baadhi ya members ambao hawana ustaarabu. Wako wapi akina barafuyamoto etal!!!
 
USA + EU walisha brainwashed watu kiasi kwamba wao kila kitu wanacho sema huwa ona ndo wenye akili kumbe mambo sivyo hii Vita ni mfano wa kuona ujinga wa wazungu ambao kwa muda mrefu walikuwa wanaona waafrika na baadhi ya nchi za Asia ndo walio nao.

Cha kushangazaa ni kwamba katika vita hii wachambuzi na watoa taarifa kuhusu jeshi la urusi wapo London [emoji1787] na Washington DC

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom