Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia


Kuna tim upinde wamenuna baada ya kusoma hapa
 
Mrusi hii vita itaigharimu sana mbeleni
Kuvamia Ukraine walikosea Urusi itaendelea kuwa vitani kwa Miaka mingi ijayo

Wangekuwa na akili wangeondoka Ukraine
Urusi ilitakiwa impindue Putin na kumuua kabisa sababu yeye ndie Tatizo Urusi
Mkuu ukisema Putin ndio tatizo utakuwa unakosea kidogo. Pale Russia kuna mijamaa mibabe yenye misimamo ya ajabu. Yaani huyo Putin ni kama anaelekezwa cha kufanya na hao inner circle wa Russia. Wakati Putin alipotaka kuwafanya mateka wa vita (prisoners of war) wale wanajeshi waliokamatwa kule Mariupol, hao wababe walimwambia hakuna inabidi hao mateka washitakiwe kama magaidi na kesi zao zirushwe live na wakipatikana na hatia wanyongwe live. Mojawapo ya hao wababe ni Spika wa Bunge la Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…