Marekani na Zelensky wailalamikia Urusi kuiondoa Kyiv kwenye mgao wa umeme toka kwenye mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia

Mkuu unateseka sana na Ukraine [emoji1787]
 
Umeongea ukweli Mkuu, ndio maana wale Critical Thinkers wa JF enzi wamejitoa wote sababu ya mipasho na maneno ya shombo ya baadhi ya members ambao hawana ustaarabu. Wako wapi akina barafuyamoto etal!!!
 
USA + EU walisha brainwashed watu kiasi kwamba wao kila kitu wanacho sema huwa ona ndo wenye akili kumbe mambo sivyo hii Vita ni mfano wa kuona ujinga wa wazungu ambao kwa muda mrefu walikuwa wanaona waafrika na baadhi ya nchi za Asia ndo walio nao.

Cha kushangazaa ni kwamba katika vita hii wachambuzi na watoa taarifa kuhusu jeshi la urusi wapo London [emoji1787] na Washington DC

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…