Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nilikuwa najua, sikujua kama wanaprint wakijisikia. Siyo kama sisi.Ulikuwa hujui kama US wana pirt USD wenyewe?
Tunachapisha, ila kiasi kikizidi mfumuko wa bei unatokea. US wao pesa yao inatumika dunia yote. Wanaweza kuchapa za kutosha na kuja kununua dhahabu. Wewe huwezi chapa madafu ya kutosha na kwenda kununua dreamliner.Ina maana Tz hatuprint hela zetu wenyewe
Umeeleza vizuri mnoTunachapisha, ila kiasi kikizidi mfumuko wa bei unatokea. US wao pesa yao inatumika dunia yote. Wanaweza kuchapa za kutosha na kuja kununua dhahabu. Wewe huwezi chapa madafu ya kutosha na kwenda kununua dreamliner.
Kipengele hichi ulichofafanua hapa ndicho sijawahi kukielewa hata kidogo...Tunachapisha, ila kiasi kikizidi mfumuko wa bei unatokea. US wao pesa yao inatumika dunia yote. Wanaweza kuchapa za kutosha na kuja kununua dhahabu. Wewe huwezi chapa madafu ya kutosha na kwenda kununua dreamliner.
Tunachapisha, ila kiasi kikizidi mfumuko wa bei unatokea. US wao pesa yao inatumika dunia yote. Wanaweza kuchapa za kutosha na kuja kununua dhahabu. Wewe huwezi chapa madafu ya kutosha na kwenda kununua dreamliner.
Pesa hizi ni usanii sana.Kipengele hichi ulichofafanua hapa ndicho sijawahi kukielewa hata kidogo...
Yaani ndomaana huwa najiaminisha kuwa "pesa" ni mfumo tu na siku wasukuma nao wakiukamata huo mfumo basi hela ya Tanzania itaambiwa ndo yenye thamani zaidi duniani
Sasa US pesa yao inatumika dunia nzima. Mfumuko kwao hauwezi kutokea. Wanasemwa wanaexport inflation.Hakuna tatizo lolote kwa nchi kuchapisha pesa yake kwa namna ambavyo inataka.
Ili mradi tu, hiyo nchi iwe na uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha bidhaa muhimu za kutosha katika soko ili kukidhi demand ya pesa itakayoingia kwenye mzunguko.
Kama kiwango cha supply ama uzalishaji wa bidhaa muhimu sokoni hakiongezeki, bidhaa muhimu zilizopo zitapanda bei taratibu ili kulingana na mahitaji (demand). Na hapo ndipo mfumuko wa bei unapotokea huku pesa ikipoteza thamani yake.
Huwezi walipa wakandarasi pesa madafu. Lakini unaweza chapa na kulipa mishahara.Me nashauri tuchapishe hela za kutosha tujenge ile SGR na bwawa la nyerere halaf tunakausha iyo mirad ndo inatumalizia hela
Hao masikini wa huko si ndo matajiri wanao tukimbiza hapa mtaani watu wanandinga wanalala pazuri...
Dolar inachapwa sana hovyo. Sema kinachoisaidia inatumika dunia nzima. Shida wanapata nchi zingine. Tofauti na Iddi Amin pesa yake ya Uganda tu lazima iwe na matatizo ikipita kiasi. Lakini ukweli ni kuwa serikali zinachapa pesa from thin airHakuna uchumi wa namna hiyo, kumbuka Amin alichapisha pesa kwa wingi na akaharibu uchumi. Dollar haichapishwi ovyo ndio maana Ina thamani.
Au ndo mana wafanya kazi wa serikali huwa wanalipwa kila siku hata nchi ipate shida kias ganiHuwezi walipa wakandarasi pesa madafu. Lakini unaweza chapa na kulipa mishahara.