Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

mmh mimi sijasoma uchumi ila sidhani kama unavyosema "kwamba wakijisikia tu"
hakuna uchumi wa hivyo NEVER
 
Hakuna tatizo lolote kwa nchi kuchapisha pesa yake kwa namna ambavyo inataka.

Ili mradi tu, hiyo nchi iwe na uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha bidhaa muhimu za kutosha katika soko ili kukidhi demand ya pesa itakayoingia kwenye mzunguko.

Kama kiwango cha supply ama uzalishaji wa bidhaa muhimu sokoni hakiongezeki, bidhaa muhimu zilizopo zitapanda bei taratibu ili kulingana na mahitaji (demand). Na hapo ndipo mfumuko wa bei unapotokea huku pesa ikipoteza thamani yake.
Nyongeza, kutoka upande wa supply side. Endapo pesa (Sh) nyingi itachapishwa na kuingia kwenye mfumo wakati hakuna ongezeko la Uzalishaji wa bidhaa (intermediate and final goods),basi raia watakuwa na mkwanja mrefu which means hata Pepsi ikiuzwa Sh 5,000 basi wataweza kumudu.

Matokeo yake demand ya bidhaa>Uzalishaji wa bidhaa hali itakayotengeneza chain of event leading to higher inflation and recession at the same time.
 
Au ndo mana wafanya kazi wa serikali huwa wanalipwa kila siku hata nchi ipate shida kias gani
Hata mishahara isipowiana na Uzalishaji wa consumables goods and services tabu inakuwa pale pale lazima mfumuko utokee unless kama interest rate za mabenki zinashawish saving na investors wako willing kukopa
 
Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo unashindwaje kufanikiwa?
Acha na Ficha ujinga wako.....wangekuwa hivyo basi wangekuwa hawakopi Pesa China [emoji630] US ndio Taifa linaongoza kwa kudaiwa na China Dunia
 
uongo marekani haitengenezi pesa yake hata siku 1 dolla kama ilivyo shilling na yen zote zinatengenezwa uswis
 
Wanaprint tu zikipunguwa?Sasa wanaepukaje inflation na deflation kukontro uchumi.Hapa wachumi wamahusika kujibu si kuweka tu habari.Karibuni watalam wa uchumi.
 
uongo marekani haitengenezi pesa yake hata siku 1 dolla kama ilivyo shilling na yen zote zinatengenezwa uswis
Not necessarily Switzerland. Even England, Germany, etc they mint and print their own monies. In USA dollars are printed in Fort Worth Tx and Washington DC. Coins are minted in Philadelphia, Denver and San Francisco. I stand to be corrected
 
Me nashauri tuchapishe hela za kutosha tujenge ile SGR na bwawa la nyerere halaf tunakausha iyo mirad ndo inatumalizia hela
Export trade ndo justification ya kila kitu,haya mahindi na vitunguu na mazao mengine tukikomaa tukashika soko la Sudan,Shelisheli na Kenya kaskazini tutafika mbali,na lazima ngano itoshe hapa na jirani na Maharage yatoshe hapa na jirani makaa ya mawe na madini yadhibitiwe mapato yasiende Zurich,tuunde vipuri vidogo vya magari kama Kenya hata tuanze na bodaboda,Gesi itumike magari yote tusiagize fuel,hapo sasa tutasomeka umeme pia tuuze nje.
 
Nilikuwa najua, sikujua kama wanaprint wakijisikia. Siyo kama sisi.
Nchi zote kubwa G12 wanaprint halafu wanakopesha nchi zetu, na kuanzisah vita ili kutoa mikopo na utafiti na magari hawaagizi nje,sisi tuishike East Africa Kazi itakua imeisha
 
Robert Mugabe wa Zimbabwe alijichanganya akachapisha hela nyingi kupita kiasi akasababisha " inflation" Tangia hapo dollar ya Zimbabwe ilishuka thamani kwa Kasi ya 5G.
 
Acha na Ficha ujinga wako.....wangekuwa hivyo basi wangekuwa hawakopi Pesa China [emoji630] US ndio Taifa linaongoza kwa kudaiwa na China Dunia
Unajua deni la Marekani wanalodaiwa na China lipo namna gani? Unafikiri wanaenda kukopa kama sisi?
 
Back
Top Bottom