Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.

Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.

Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
 
Kamanda kweli unajidhalilisha sana.Kutoka kuongoza kikundi cha kuchoma mali za watu kwa kutumia keyboard mpaka kuomba kutoka Marekani.Nani kwanza anakujua zumbukuku.Endelea kudhihirisha ujinga wako.Upo desperate mpaka unatia huruma.
 
Tulia dawa iwaingie. Si mnajifanya wababe
 
Kamanda kweli unajidhalilisha sana.Kutoka kuongoza kikundi cha kuchoma mali za watu kwa kutumia keyboard mpaka kuomba kutoka Marekani.Nani kwanza anakujua zumbukuku.Endelea kudhihirisha ujinga wako.Upo desperate mpaka unatia huruma.
Kuna jambo hulijui kwa sababu hujipi muda wa kulitafiti. Ile tuzo ya amani ambayo Lissu kapendekezwa kuchukua ndio njia ya marekani kuwafikia kwa haraka.
Tuzo ile haikai kwenye uchafu wa demokrasia. Ni suala la muda tu mnakimbilia Kongo nakuambieni.
 
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.

Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.

Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.

Kwakweli Mimi nilikuwa siyo muumini wa beberu lakini kwa hichi kitendo cha huyu Mzanzibari kutuua sisi watanganyika, Tunaomba US waidhinishe CIA waingie TANZANIA wafanye yao.

Ulishaona wapi watanganyika Milioni 32 wanampigia kura za ndiyo Mzanzibari Ina maana hawajaona watanganyika wenzao wakuwapigia kura???

Tanzania tupo Milioni 65 nusu yao ni watoto chini ya miaka 18, eti nusu iliyobaki yote imejiandikisha na imepiga kura kwa Mzanzibari hata zile kura Milioni 6 za 2020 nazo zimepigia Chama tawala.

Jamani tumuogope MUNGU.
 
Hatutaki wawaue. Waje kuwachukua kama walivyofanya kwa Maduro na mkewe pale Venezuela.
Hawawezi kuwachukua bila ya kupiga kambi za jeshi kwanza,venuzuela wameteketeza kwanza kambi zote za kijeshi ndi wakaingia kuwatia nguvuni
 
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.

Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.

Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Yaani unaonesha umewachoka kabisa mkuu?Je,ikitokea wameuliza..."who are you"...Itakuwaje?
 
Back
Top Bottom