Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

Marekani njooni muwachukue Samia, Wambura na Mafwele kwa kumteka Raia wenu Thadei Kweka

kweli kazi iliiisha majambazi yamejua serikali ni nini sio kikombe cha uji wa ulezi
Nimeshawaambia kazi ilishaisha Oktoba 29.

Sasa ni safari kutimia tu. ICC inaenda kubadilisha kila kitu nchini. Jiandaeni tu
 
Kwakweli Mimi nilikuwa siyo muumini wa beberu lakini kwa hichi kitendo cha huyu Mzanzibari kutuua sisi watanganyika, Tunaomba US waidhinishe CIA waingie TANZANIA wafanye yao.

Ulishaona wapi watanganyika Milioni 32 wanampigia kura za ndiyo Mzanzibari Ina maana hawajaona watanganyika wenzao wakuwapigia kura???


Tanzania tupo Milioni 65 nusu yao ni watoto chini ya miaka 18, eti nusu iliyobaki yote imejiandikisha na imepiga kura kwa Mzanzibari hata zile kura Milioni 6 za 2020 nazo zimepigia Chama tawala.

Jamani tumuogope MUNGU.
Sasahivi tunawaomba Marekani seriously waingilie kati hapa Tanzania kutuondolea huyu Samia na ccm yake.
 
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.

Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.

Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Sasa hivi Samia anajinyea nyea "who are you" Wanakamata watu huko duniani kwenye nchi zenye uwezo wa kijeshi.....Sasa huyo rais haramu anajificha ficha Tunguu, atakamatwa tu.
 
Sasa hivi Samia anajinyea nyea "who are you" Wanakamata watu huko duniani kwenye nchi zenye uwezo wa kijeshi.....Sasa huyo rais haramu anajificha ficha Tunguu, atakamatwa tu.
Huyu keshajaa kwenye mfumo wao.

Sahivi wanajiuliza tu tumshambulie lini?
 
Manyumbu kwenye delusional mode.Endeleeni kuota tahadhari msijinyee.
 
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.

Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.

Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kamanda kweli unajidhalilisha sana.Kutoka kuongoza kikundi cha kuchoma mali za watu kwa kutumia keyboard mpaka kuomba kutoka Marekani.Nani kwanza anakujua zumbukuku.Endelea kudhihirisha ujinga wako.Upo desperate mpaka unatia huruma.
Hawa watu wamechanganyikiwa sana!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom