Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Manowari moja tu iwashughulikie wale wavunja matofali wa Ngerengere wanaolinda pale Kizimkazi, Magogoni na ChamwinoDaaa Kwa Tanzania US akituma chapa F-16 kazi kwisha
Tulia dawa iwaingie. Si mnajifanya wababeKamanda kweli unajidhalilisha sana.Kutoka kuongoza kikundi cha kuchoma mali za watu kwa kutumia keyboard mpaka kuomba kutoka Marekani.Nani kwanza anakujua zumbukuku.Endelea kudhihirisha ujinga wako.Upo desperate mpaka unatia huruma.
tunawasubiria waambie wajeTulia dawa iwaingie. Si mnajifanya wababe
Sawa uzuri wameshakusoma na wamejua wewe ni nani na upo wapi.tunawasubiria waambie waje
Vipi maandamano lini tena?Ingiza pua barabarani.Tulia dawa iwaingie. Si mnajifanya wababe
ndio waambie tunawasubiriaSawa uzuri wameshakusoma na wamejua wewe ni nani na upo wapi.
Kazi ilishaisha tarehe 29 Oktoba 2025.Vipi maandamano lini tena?Ingiza pua barabarani.
Hatutaki wawaue. Waje kuwachukua kama walivyofanya kwa Maduro na mkewe pale Venezuela.Drone moja tu ya MQ-R9 inaweza kumaliza mchezo
Kuna jambo hulijui kwa sababu hujipi muda wa kulitafiti. Ile tuzo ya amani ambayo Lissu kapendekezwa kuchukua ndio njia ya marekani kuwafikia kwa haraka.Kamanda kweli unajidhalilisha sana.Kutoka kuongoza kikundi cha kuchoma mali za watu kwa kutumia keyboard mpaka kuomba kutoka Marekani.Nani kwanza anakujua zumbukuku.Endelea kudhihirisha ujinga wako.Upo desperate mpaka unatia huruma.
walikuja juzi wakafukuzwaKazi ilishaisha tarehe 29 Oktoba 2025.
Jiandae tu vizuri kwenda kuwatetea Samia na vibaraka wake ICC.
Mlipolalia ndipo tulipoamkia.
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.
Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Hawawezi kuwachukua bila ya kupiga kambi za jeshi kwanza,venuzuela wameteketeza kwanza kambi zote za kijeshi ndi wakaingia kuwatia nguvuniHatutaki wawaue. Waje kuwachukua kama walivyofanya kwa Maduro na mkewe pale Venezuela.
Yaani unaonesha umewachoka kabisa mkuu?Je,ikitokea wameuliza..."who are you"...Itakuwaje?Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.
Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Endeleeni kuwabeza tu na siku wakiingia usijechimba!Vipi maandamano lini tena?Ingiza pua barabarani.