kweli kazi iliiisha majambazi yamejua serikali ni nini sio kikombe cha uji wa uleziKazi ilishaisha tarehe 29 Oktoba 2025.
Jiandae tu vizuri kwenda kuwatetea Samia na vibaraka wake ICC.
Mlipolalia ndipo tulipoamkia.
Nimeshawaambia kazi ilishaisha Oktoba 29.kweli kazi iliiisha majambazi yamejua serikali ni nini sio kikombe cha uji wa ulezi
Kwa sasa ni mwendo wa adui kuombewa njaa tu.Yaani unaonesha umewachoka kabisa mkuu?Je,ikitokea wameuliza..."who are you"...Itakuwaje?
shaba mnakula na ICC ni kijiwe cha kahawa hawana jeshiNimeshawaambia kazi ilishaisha Oktoba 29.
Sasa ni safari kutimia tu. ICC inaenda kubadilisha kila kitu nchini. Jiandaeni tu
Ngoja nimuulize Nicolaus Maduro kama uliyoyaandika ni kweli.shaba mnakula na ICC ni kijiwe cha kahawa hawana jeshi
Umeona ya Maduro Leo?shaba mnakula na ICC ni kijiwe cha kahawa hawana jeshi
Sasahivi tunawaomba Marekani seriously waingilie kati hapa Tanzania kutuondolea huyu Samia na ccm yake.Kwakweli Mimi nilikuwa siyo muumini wa beberu lakini kwa hichi kitendo cha huyu Mzanzibari kutuua sisi watanganyika, Tunaomba US waidhinishe CIA waingie TANZANIA wafanye yao.
Ulishaona wapi watanganyika Milioni 32 wanampigia kura za ndiyo Mzanzibari Ina maana hawajaona watanganyika wenzao wakuwapigia kura???
Tanzania tupo Milioni 65 nusu yao ni watoto chini ya miaka 18, eti nusu iliyobaki yote imejiandikisha na imepiga kura kwa Mzanzibari hata zile kura Milioni 6 za 2020 nazo zimepigia Chama tawala.
Jamani tumuogope MUNGU.
Sasa hivi Samia anajinyea nyea "who are you" Wanakamata watu huko duniani kwenye nchi zenye uwezo wa kijeshi.....Sasa huyo rais haramu anajificha ficha Tunguu, atakamatwa tu.Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.
Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Huyu keshajaa kwenye mfumo wao.Sasa hivi Samia anajinyea nyea "who are you" Wanakamata watu huko duniani kwenye nchi zenye uwezo wa kijeshi.....Sasa huyo rais haramu anajificha ficha Tunguu, atakamatwa tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro.
Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa Marekani.
Tunajua US Embassy mnapitia sana humu JF. Fanyeni kweli.
Hawa watu wamechanganyikiwa sana!Kamanda kweli unajidhalilisha sana.Kutoka kuongoza kikundi cha kuchoma mali za watu kwa kutumia keyboard mpaka kuomba kutoka Marekani.Nani kwanza anakujua zumbukuku.Endelea kudhihirisha ujinga wako.Upo desperate mpaka unatia huruma.