Nakujua kwa post zako humu JF na umeonekana kuwa kinara wa kutukana watu humu.sasa be informed sio kila mtu humu ni nyumbu kama wewe
You believe Tanzania inaweza kumuendesha USA kwenye namna ya uendeshaji wa propaganda?Hakuna cha mission wala nini.Liberata MulaMula kamlipua ,sio kwamba namkubali sana MulaMula ila kwa hili lazima nimtambue
ndio yametokea ..its real not a beliefYou believe Tanzania inaweza kumuendesha USA kwenye namna ya uendeshaji wa propaganda?
Ndio amepanda ndege yupo njiani kurudi Washington DCBalozi aliyekuwa anagonga mhindi wa Iringa juzi Kati?
Utapendeza sana ukiajiriwa na mpiga ramli chonganishiHii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.

Utapendeza sana ukiwa mpiga ramli chonganishiHii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.
Mada hii ni nzito kwako !umesoma shule ya kata au ya wazazi ?Utapendeza sana ukiajiriwa na mpiga ramli chonganishi
Mie sikujaaliwa kabisa. Heri yako msomi.Mada hii ni nzito kwako !umesoma shule ya kata au ya wazazi ?
hukujaaliwa kipi?kusoma au kusoma shule ya kata/wazazi?tuache unafiki!Mie sikujaaliwa kabisa. Heri yako msomi.
Mbeba mabox na muosha wazee huko majuu katika ubora wako!!!!Mpuuzi wewe!!! Huyo balozi ni wa chama cha Republicans aliteuliwa na Trump. Biden anatakiwa ateue Mabalozi kutoka chama chake cha Democrats ili kuwakilisha USA katika nchi mbali mbali duniani, lakini mpuuzi wewe huelewi hilo unakuja humu na kuonyesha ujuha wako hadharani. 😳😳😳😳 muwe mnauliza kabla ya KUKURUPUKA.
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na Serikali ya Tanzania.
inawezekana wewe huna habari hizo
Hakuna cha mission wala nini.Liberata MulaMula kamlipua ,sio kwamba namkubali sana MulaMula ila kwa hili lazima nimtambue
Aliyekudanganya ni nani??hata Tanzania hufanya hivyo.
Jifunze zaidi
Mkuu umemjibu vyema huyu pengine tu tumkumbushe kwa kumbukumbu zangu ni around 2016 baada ya yule balozi wa US kuondoka , US ilimleta "muwakilishi" kukaimu walikuja kumleta mtu kama balozi zaidi ya mwaka kupita , pengine kutokua na exposure ndio tatizo kwa watanzania wengi !..tz ikimfukuza balozi wa marekani na wao watamfukuza balozi wetu.
..na lazima tukio hilo lingeripotiwa ktk vyombo vya habari.
..haiwezekani kabisa tukio hilo likafanyika kwa siri.
Anaondoa Makapi ya Trump yaliyokuwa yanamuunga mkono Jiwe na ukatili wake.Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.
Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu...
Uongozi wa Trump umeishisha Heshima ya Marekani. Kaingi Biden Taliban wameshinda.Kila Rais wa Marekani huwa anapenda kuweka mabalozi wake. Wright ni daktari wa binadamu na aliteuliwa na Trump. Hakuwa career diplomat. Jana Biden ametangaza watu wake kwa ajili ya Tanzania, China na Japan. Mulamula hahusiki katika mabadiliko haya.
Amandla ...