Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

Marekani akimaliza huko aje atuvuruge na huku Tanganyika na Zanzibar kwa sababu ni mchokozi sana na anapenda kuona wenzake wanapigana. Kifupi Marekani ni kivuruge.
Hakuna asiyemjua kuwa ni mtu wa chokochoko ila mwisho wake umekaribia hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Mbona hata wa China umeyumba hadi wanazuia watu kutoa pesa benki kwa kutumia jeshi.
 
Marekani ndo nchi inayozalisha mafuta mengi duniani kwa sasa kuliko nchi yoyote ile,tatizo ni kwamba wana mahitaji makubwa Sana ndo maana inabidi kuagiza kidogo Nje kufidia gap
Wanazalisha au wanaiba nchi zenye vita
 
Uchumi wa marekani sasa wayumba na ni juzi tu wametoa taarifa ya kutishiwa kwa mwanguko wa kiuchumi au recession.

Fuatilieni habari hizi.

Hayo yote unosema ya siasa, na teknolojia hayawezi kustawi zaidi kama uchumi wayumba.

Hiyo ni habari ya tarehe 27 Julai.

US economy shrinks again sparking recession fears:​

Umeona housing collapse ya China?
 
Ila ninachokiona hapa ni kuwa Marekani haamini kama China anavyotishia kuuwasha moto anamaanisha, Marekani inaamini kuwa China inachimba mkwara tu na haitothubutu kumzuia kinguvu Pelosi kuingia Taiwan!! Hali kadhalika China haiamini kuwa ni kweli Marekani imekusudia kumpeleka Pelosi Taiwan ila inachimba mkwara tu. Itafikia kila mmoja ataona kuwa kumbe kila mmoja anamaanish!! Ikifikia hapo mchokozi Marekani atafyata mkia na kurudi nyuma!! Lakini kabla hajarudi nyuma atachimba mkwara mmoja mzito sana na akiona China haijatishiwa na mkwara huo fasta marekani itaufyata halafu itatafuta njia ya kujikosha ili kupunguza aibu ya kuufyata!! Mahali walipofikishana, yeyote atakayeufyata atapambana na fedheha na aibu, iwe Marekani, iwe China!! Ila Marekani mchokozi sana, amesafiri maelfu ya maili kwenda kuleta ugomvi nyumbani kwa watu!!
Ndio nasoma koment yako
 
Hasara tupuuu
 
Amani itawale tutafute ugali wa watoto wetu.
Mabeberu wakipigana nyasi ndo zinaumia.
All in all hako kabibi ni PISI ya kwenda huwezi linganisha na waliopo Tinde.
Waafrica hatuwezi kuwa na akili kwa kuwaza ugali. Inabidi tuache Kula vyakula vya kishenzi kama ugali. Ndio ubongo zetu zinalala badala ya Kula ngano tunakula ugali, ambao wenzetu wanalisha ng'ombe, kuku na nguruwe
 
Back
Top Bottom