rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Hakuna asiyemjua kuwa ni mtu wa chokochoko ila mwisho wake umekaribia hakuna marefu yasiyo na nchaMarekani akimaliza huko aje atuvuruge na huku Tanganyika na Zanzibar kwa sababu ni mchokozi sana na anapenda kuona wenzake wanapigana. Kifupi Marekani ni kivuruge.
Unafahamu kuwa Taiwan ndio ilikuwa na kiti UN badala ya China?Hata Hongkong, Macau, Zanzibar, Scotland nazo zinaviongozi wao wa juu.lakini hazina viti vyao U.N
Halafu ikawaje?Inasemekana USA waliitaarifu China kuhusu safari ya Pelosi tangu mwezi July
Naona Mchina anachezea sharubu za Mjapan,anataka kuamsha mashetani yaliyolala.BREAKING: Tokyo says five missiles fired by China's military landed in Japan's exclusive economic zone
Utakuwa kivuruge bila kuwa na nguvu?Marekani akimaliza huko aje atuvuruge na huku Tanganyika na Zanzibar kwa sababu ni mchokozi sana na anapenda kuona wenzake wanapigana. Kifupi Marekani ni kivuruge.
Huyo mwisho mbona haufiki tuu,maana alishaanza kuambiwa mwisho wake umefika tangu miaka ya 80s.Hakuna asiyemjua kuwa ni mtu wa chokochoko ila mwisho wake umekaribia hakuna marefu yasiyo na ncha
Mbona hata wa China umeyumba hadi wanazuia watu kutoa pesa benki kwa kutumia jeshi.
Kikaondolewa 1971Unafahamu kuwa Taiwan ndio ilikuwa na kiti UN badala ya China?
Wanazalisha au wanaiba nchi zenye vitaMarekani ndo nchi inayozalisha mafuta mengi duniani kwa sasa kuliko nchi yoyote ile,tatizo ni kwamba wana mahitaji makubwa Sana ndo maana inabidi kuagiza kidogo Nje kufidia gap
Umeona housing collapse ya China?Uchumi wa marekani sasa wayumba na ni juzi tu wametoa taarifa ya kutishiwa kwa mwanguko wa kiuchumi au recession.
Fuatilieni habari hizi.
Hayo yote unosema ya siasa, na teknolojia hayawezi kustawi zaidi kama uchumi wayumba.
Hiyo ni habari ya tarehe 27 Julai.
US economy shrinks again sparking recession fears:
US economy shrinks again sparking recession fears
The US economy contracted at an annual rate of 0.9% in the three months to July.www.bbc.co.uk
bsi usisemeee marekan semea dunia sasa iko hali gani mbona unatuonea waamerika jaman warus kila ktu munapatia nyinyiSijasema umeanguka ila wayumba.
Soma hapa:
Hiyo ni habari ya tarehe 27 Julai
US economy shrinks again sparking recession fears
The US economy contracted at an annual rate of 0.9% in the three months to July.www.bbc.co.uk
China ni mandongaChina sio Libya
China ni mandongaChina sio Libya
Ndio nasoma koment yakoIla ninachokiona hapa ni kuwa Marekani haamini kama China anavyotishia kuuwasha moto anamaanisha, Marekani inaamini kuwa China inachimba mkwara tu na haitothubutu kumzuia kinguvu Pelosi kuingia Taiwan!! Hali kadhalika China haiamini kuwa ni kweli Marekani imekusudia kumpeleka Pelosi Taiwan ila inachimba mkwara tu. Itafikia kila mmoja ataona kuwa kumbe kila mmoja anamaanish!! Ikifikia hapo mchokozi Marekani atafyata mkia na kurudi nyuma!! Lakini kabla hajarudi nyuma atachimba mkwara mmoja mzito sana na akiona China haijatishiwa na mkwara huo fasta marekani itaufyata halafu itatafuta njia ya kujikosha ili kupunguza aibu ya kuufyata!! Mahali walipofikishana, yeyote atakayeufyata atapambana na fedheha na aibu, iwe Marekani, iwe China!! Ila Marekani mchokozi sana, amesafiri maelfu ya maili kwenda kuleta ugomvi nyumbani kwa watu!!
Hasara tupuuuIla ninachokiona hapa ni kuwa Marekani haamini kama China anavyotishia kuuwasha moto anamaanisha, Marekani inaamini kuwa China inachimba mkwara tu na haitothubutu kumzuia kinguvu Pelosi kuingia Taiwan!! Hali kadhalika China haiamini kuwa ni kweli Marekani imekusudia kumpeleka Pelosi Taiwan ila inachimba mkwara tu. Itafikia kila mmoja ataona kuwa kumbe kila mmoja anamaanish!! Ikifikia hapo mchokozi Marekani atafyata mkia na kurudi nyuma!! Lakini kabla hajarudi nyuma atachimba mkwara mmoja mzito sana na akiona China haijatishiwa na mkwara huo fasta marekani itaufyata halafu itatafuta njia ya kujikosha ili kupunguza aibu ya kuufyata!! Mahali walipofikishana, yeyote atakayeufyata atapambana na fedheha na aibu, iwe Marekani, iwe China!! Ila Marekani mchokozi sana, amesafiri maelfu ya maili kwenda kuleta ugomvi nyumbani kwa watu!!
Waafrica hatuwezi kuwa na akili kwa kuwaza ugali. Inabidi tuache Kula vyakula vya kishenzi kama ugali. Ndio ubongo zetu zinalala badala ya Kula ngano tunakula ugali, ambao wenzetu wanalisha ng'ombe, kuku na nguruweAmani itawale tutafute ugali wa watoto wetu.
Mabeberu wakipigana nyasi ndo zinaumia.
All in all hako kabibi ni PISI ya kwenda huwezi linganisha na waliopo Tinde.