Binafsi sisapoti huu ujinga wa US. Kuingilia sovereignty za nchi zingine.Kuiangamiza Iran wataweza ila nao wanapata ngeu walau za kujisikilizia
Mlipuko na mashambulizi ni mambo mawili tofauti.Ni kweli milipuko imetokea maeneo mbali mbali ila haijulikani nani kaisababisha ila kuna mauaji