political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Hii taarifa ina ukakasi kila media za dunia zote nimefuatilia sijaona wakipost chochote
Utajinyea wewe umbea wanini na habari yenyewe ya kuokoteza FacebookBREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7
Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil
Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache.
Israeli wala Marekani hawajatoa maoni.
Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani haina ubavu kuishambulia Iran lakini sasa Mikojo Ina Wataka ovyo tu Adiosamigo kahtaan Mlaleo Ritz YAJAYO YANAFURAHISHA!!!!
View attachment 3537015View attachment 3537016
Source?..BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7
Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil
Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache.
Israeli wala Marekani hawajatoa maoni.
Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani haina ubavu kuishambulia Iran lakini sasa Mikojo Ina Wataka ovyo tu Adiosamigo kahtaan Mlaleo Ritz YAJAYO YANAFURAHISHA!!!!
View attachment 3537015View attachment 3537016
Sasa wewe umekuja kutafuta Nini huku International forumWabongo bhana, wanajifanya wamarekani weusi kufatilia ya wamarekani wakati ya hapo kizimkazi mnayashindwa
Sisi tunajua funzo la mwaka Jana kwa Iran lilikuwa hili hapa chini!! Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran waliangamizwa bila huruma yoyote ile.Umedata wew myahud wa Kwimba? Hivi unadhani muajemi anafuatwa kizembe? Ile funzo la mwaka Jana trump Bado anajiuliza mara 2 mbili
Charity begins at home.Binafsi sisapoti huu ujinga wa US. Kuingilia sovereignty za nchi zingine.
Huu ni ubabe usio na maana yoyote. Trump asipodhibitiwa atafanya mambo mengi sana ya hovyo.
Marekani haina ubavu wa kushambulia Iran?HANA UBAVU HUO
Wewe punga naona tayari umeshavaa shanga na kanga moja unakata viuno ngoma ya jiraniBREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7
Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil
Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache.
Israeli wala Marekani hawajatoa maoni.
Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani haina ubavu kuishambulia Iran lakini sasa Mikojo Ina Wataka ovyo tu Adiosamigo kahtaan Mlaleo Ritz YAJAYO YANAFURAHISHA!!!!
View attachment 3537015View attachment 3537016
HahahaWabongo bhana, wanajifanya wamarekani weusi kufatilia ya wamarekani wakati ya hapo kizimkazi mnayashindwa
Yaani umueliminate kamanda wa IRGC mpaka sasa tel aviv wawe wanaranda randa mtaani bila vingora vya kuingia shimoni? Unatania wewe.,Wakati habari kamili tunazisubiri commander of the IRGC Navy, Alireza Tangsiri Kaangamizwa jioni hii huko Bandar Abbas!!!!
Naona umeimiss boom boom boom 💥💥 Tel Aviv. Subiri waanzishe uuone mziki .safari hii ayatollah kasema hakutakua na kusimamisha vita 🤣 kama walivoomba kwenye 12 days war.Wajinga nyie mlikuwa mnapinga kuwa Iran hawezi kupigwa kapigwa sasa na makamanda wake wameuwawa mwambie na Mwarabu-koko mwenzako Sir John Deere apeleke ujinga wake kwa Ayatollah Ali Khamenei
💯Marekani haina ubavu wa kushambulia Iran?
Kama vita ni kuua makamanda Leo hii mzayuni angekua hatapi tapi kumshawishi trump warudi kushambulia, vita sio kuua makamanda Kama ni hivyo trump alipomuua kamanda Suleiman Leo asingekua anarudi Tena Iran. Na Kwa bahati mbaya mtu mnayetaka kumuua ndio mwema kwenu maana ndio amezuaia mpaka Sasa Iran wasitengeneze bomu hamjui Ayatollah ajae ndio kichaa zaidi ya huyu.Sisi tunajua funzo la mwaka Jana kwa Iran lilikuwa hili hapa chini!! Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran waliangamizwa bila huruma yoyote ile.
Kenge mkubwa we!.Kwa maana akili zako zimeshikwa na BBC,DW na Aljazeera? Acha ujinga wako wewe!!!
X hizi habari zipo, hata AI pia ukiuliza kuhusu hili tukio wanakupa taarifa ila tu ni kwamba hakuna uthibitisho kwamba haya ni mashambulizi ya kijeshi kama alivyosema mleta mada.sawa na mwenyewe ni mmojawapo naufatilia kwa ukaribu huu uzi, shida nikienda kwenye media nyingine kama BBC, DW,AFP na ALJAZEER sioni hichi ulichopost hapa.
Ma islam, Yale yanayofata salafi ideology, ni ya kupiga mpaka yatapike damuBREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7