Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #81
Kwangu Mimi Iran kukubali ku Negotiate ni Udhaifu kwa sababu kwa zaidi ya miaka 20 nchi ya Iran imekuwa ikiwachezea mchezo wa paka na panya nchi za magharibi kuhusu majaribio yake ya kutengeneza silaha za Nuclear na sasa hivi Wame baba kwenye Kona hana namna tena kaingia kwenye 18 za Mmarekani!!,,Kukubali kunegotiate ni udhaifu?