Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Huna hoja yoyote tofouti na nilicho sema mimi toka mwanzo nimesena twitter sio 💯 habari zake ni kweli, unapo ongelea public figures hahaha, hao alio waleta rafiki yako kwenye mada nani anawajua mpaa tuwamini.Hoja yangu ni twitter ni source ya habari, inategemea unachukua kwa nani
Hakuna niliposema kila anachoandika mmarekani unapaswa kuchukua, nilichomaanisha ni kuchukua habari kutoka kwa public figures
Wewe ulianza kusema sio source ya habari, kitu ambacho si kweli.
Naona tunapoteza mda tu sina time ya kupoteza mda hapa