Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7

Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil

Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache.

Israeli wala Marekani hawajatoa maoni.

Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani haina ubavu kuishambulia Iran lakini sasa Mikojo Ina Wataka ovyo tu Adiosamigo kahtaan Mlaleo Ritz YAJAYO YANAFURAHISHA!!!!

View attachment 3537015View attachment 3537016
ZUMARIDI USHAANZA FITNA ZAKO, MMESHINDWA VITA NA WANAMGAMBO TU WA HAMAS , MTAWAWWEZA IRAN KWELI NYIE MACHOKO NA VIBARAKA WA MAZAYUNI
 
Huyu mwamba anadhani Iran ni Lebanon, yale madubwasha yamesepa yalivyosikia mwanamme anafnya mazoezi pale Hormuz...
Mnadhani uongo wenu utamuokoa Ayatollah? Safari hii Ayatollah lazima ateme ndoano!!

Marekani inajizatiti vilivyo ili kuuondoa utawala wa kinabalu huko Iran.
 
Ripoti: Iran iko tayari kufunga mpango wake wa nyuklia na kutuma uranium iliyorutubishwa nchini Urusi

Iran iko tayari kufunga au kusimamisha mpango wake wa nyuklia, kulingana na ripoti ya The New York Times, ikinukuu maafisa wawili. Vyanzo hivyo viliongeza kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran, Ali Larijani, alikutana katika siku za hivi karibuni na Rais wa Urusi Vladimir Putin na kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, akisema kwamba Tehran inaweza kukubali kutuma uranium yake iliyorutubishwa nchini Urusi, kama ilivyofanya chini ya makubaliano ya nyuklia ya 2015.

Taratibu Iran imeanza kunywea!! Chezea Marekani wewe!!!
 
Attachments

  • IMG_20260203_080547_140.jpg
    IMG_20260203_080547_140.jpg
    215 KB · Views: 24
  • IMG_20260203_080413_737.jpg
    IMG_20260203_080413_737.jpg
    271.9 KB · Views: 27
Ripoti: Iran iko tayari kufunga mpango wake wa nyuklia na kutuma uranium iliyorutubishwa nchini Urusi

Iran iko tayari kufunga au kusimamisha mpango wake wa nyuklia, kulingana na ripoti ya The New York Times, ikinukuu maafisa wawili. Vyanzo hivyo viliongeza kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran, Ali Larijani, alikutana katika siku za hivi karibuni na Rais wa Urusi Vladimir Putin na kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, akisema kwamba Tehran inaweza kukubali kutuma uranium yake iliyorutubishwa nchini Urusi, kama ilivyofanya chini ya makubaliano ya nyuklia ya 2015.

Taratibu Iran imeanza kunywea!! Chezea Marekani wewe!!!
Iran haitaji nyuklia, sera yao wao wanarutubisha ili wapate dili la kuwaondoa Kwenye vikwazo, shida ya Iran ni vikwazo ndio mtihani kuhusu nyuklia nadhani Wana option yake maana walisema Kama itanuka ya nyuklia wao ndani ya sa24 watakuja nayo. Hivyo wanajua kua na nyuklia na vikwazo juu ni hasara Bora waache nyuklia ila wafanye biashara zao bila zengwe
 
Yaani aibuke na silaha za Nuclear kwa masaa 24 huo ndiyo ujinga ambao kila siku nawaambia Wafuga midevu na majini mnao!! Kuwa na Nuclear ni Process siyo kukurupuka kwa masaa 24 hata lama uranium umeshairutubisha!!

Acheni kujifariji-fariji safari hii Iran kaingia kwenye 18 za Mmarekani inabidi tu asalimu Amri!!
 
Sawa wewe ni mjuzi wa Siasa za Iran kwahio unaamini nyie mnaweza kuzuia Iran asiwe na nyuklia? Unachekesha kinachozuia Iran asiwe na nyuklia ni fatwa ya Ayatollah Bado hajaidhinisha hadi Leo hii, ndio maana na washangaa wamarekani kumuwinda wakati yeye ndio Bado hajaruhusi lakini wanasiasa wote wanashinikiza Iran iunde bomu

Kauli za kuunda bomu ndani ya 24hs sio yangu ni Iran wenyewe wamewahi kusema na juzi Ayatollah mwenyewe kasema wako tayari na vita ya aina yoyote ile( zingatia hapo Kwenye aina yoyote)
 
🇮🇷 Ali Shamkhani, an advisor to Ayatollah Khamenei, told Al-Mayadeen TV:

Uranium will not leave Iran.

Our nuclear program is peaceful, our capabilities are domestic, the 60% enrichment rate can be reduced to 20%, but they must pay the cost.

There is no reason to transfer stored materials outside Iran, and it is possible to return to 20% enrichment, so there is no need for all the complicated steps.
 
🇮🇱 🇺🇸 🇮🇷 The correspondent of the Hebrew Channel 12: A new agreement between the United States and Iran that does not include ballistic missiles would be very bad for "Israel".
 
Maneno kama hayo hata Saddam Hussein na Gaddafi waliyasema lakini mwisho wake walipata kipondo cha kufa mtu na sasa hawapo!!!

Ayatollah ajiandae tu kunyolewa hizo ndevu zake.

Jaribuni kujiuliza Iran ni nchi ya kiislamu toka 1979 kwa nini sasa waandamanaji walikuwa wanachoma Misikiti? Hii inaonyesha wazi utawala w Ayatollah haukubaliki huko Iran!!
We kenge kweli hivi wewe unadhania Muislam atahoma Misikiti huyo lazima awe ni Myahudi au Mkristo. Hivi hujui Iran kuna Wayahudi na Wakristo hao ndio wanatumiwa na Israel na USA mimi ningekuwa Ayatollah ningewakusanya wote Wakristo na Wayahudi nikawapeleka Jela au mwenye uchungu nao wawachukue Iran ibaki Waislam tu.

We lazima ufahamu kuwa kiongozi nimipango ya Mungu hata kupinduliwa au kufa ilisha pangwa na Mungu sio USA kenge wewe.
 
🇮🇱 🇺🇸 🇮🇷 The correspondent of the Hebrew Channel 12: A new agreement between the United States and Iran that does not include ballistic missiles would be very bad for "Israel".
Mimi nilisha muambia huyo muosha vyoo kule Tela Aviv Echolima1 kwamba Iran alikataa kuongea na USA ilibidi USA akabembeleze Oman, Qatar na Turkey ili kuwe na mazungumzo ili ionekane Iran kaogopa vita hahaha, wakati hayo mazungumzo ni yale yale alio kuwa hayataki USA, sa kakubali ili aonekane Iran kumuogopa USA.
 
We kenge kweli hivi wewe unadhania Muislam atahoma Misikiti huyo lazima awe ni Myahudi au Mkristo. Hivi hujui Iran kuna Wayahudi na Wakristo hao ndio wanatumiwa na Israel na USA mimi ningekuwa Ayatollah ningewakusanya wote Wakristo na Wayahudi nikawapeleka Jela au mwenye uchungu nao wawachukue Iran ibaki Waislam tu.

We lazima ufahamu kuwa kiongozi nimipango ya Mungu hata kupinduliwa au kufa ilisha pangwa na Mungu sio USA kenge wewe.
Waislamu hata wakibaki wenyewe watauana TU
Wao amani sio mambo Yao kabisa
Angalia nchi zenye waislamu watupa
 
Hakuna nchi ya Waislam tupu duniani hata kama wananchi wao wote wawe Waislam lazima yatakuja Mahindus, Makristo na Mayahudi kufanya kazi hizo nchi na mengi yao ndio yanaleta nuksi haswa uzinifu, utapeli na Fitna za dini.
 
Ripoti: Iran iko tayari kufunga mpango wake wa nyuklia na kutuma uranium iliyorutubishwa nchini Urusi

Iran iko tayari kufunga au kusimamisha mpango wake wa nyuklia, kulingana na ripoti ya The New York Times, ikinukuu maafisa wawili. Vyanzo hivyo viliongeza kuwa katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran, Ali Larijani, alikutana katika siku za hivi karibuni na Rais wa Urusi Vladimir Putin na kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, akisema kwamba Tehran inaweza kukubali kutuma uranium yake iliyorutubishwa nchini Urusi, kama ilivyofanya chini ya makubaliano ya nyuklia ya 2015.

Taratibu Iran imeanza kunywea!! Chezea Marekani wewe!!!
We wachana ni hilo gazeti la Kiyahudi hakuna sehemu Iran kakubali hayo hizo ni firimbi za kiyahudi tu
 
🇮🇷 🇺🇸 🇦🇪 Iranian Foreign Affairs specialist, Khoshcheshm, said Iran has a wide range of American targets to hit in the UAE.

Khoshcheshm says Iran has no issue with the UAE itself, but claims the UAE, especially Dubai is the main hub supporting US military, financial, tech, and logistics operations in the region. He argues that if the US makes any hostile move, Iran would target these "Achilles' heel" sites rather than start a full war.

He listed 5 main strategic targets:

- Dubai Airport Free Zone & logistics hub - core of US transport & military support.

- Dubai International Financial Centre (DIFC) - A major hub for US financial operations & money laundering.

- Dubai's internet/data hubs - hosting major US tech firms (Meta, Google, Microsoft, etc.) supporting US forces.

- Dubai Silicon Oasis - engineering and tech firms tied to US military supply chains.

- Jebel Ali - a key transit and logistics center for US companies & personnel.

He emphasizes this is deterrence, not a declaration of war, and claims Iran could hit these targets easily, even without missiles and could use rockets from its coastal sites.
 
Ili US amchape Iran inabidi kwanza ajiondoe vitega uchumi vyake vyote vilivyopo mashariki ya kati, yaàni asahau Kama aliwahi kuwekeza katka Hilo eneo then ndio mbungi itembee
 
🇮🇷 🇺🇸 🇦🇪 Iranian Foreign Affairs specialist, Khoshcheshm, said Iran has a wide range of American targets to hit in the UAE.

Khoshcheshm says Iran has no issue with the UAE itself, but claims the UAE, especially Dubai is the main hub supporting US military, financial, tech, and logistics operations in the region. He argues that if the US makes any hostile move, Iran would target these "Achilles' heel" sites rather than start a full war.

He listed 5 main strategic targets:

- Dubai Airport Free Zone & logistics hub - core of US transport & military support.

- Dubai International Financial Centre (DIFC) - A major hub for US financial operations & money laundering.

- Dubai's internet/data hubs - hosting major US tech firms (Meta, Google, Microsoft, etc.) supporting US forces.

- Dubai Silicon Oasis - engineering and tech firms tied to US military supply chains.

- Jebel Ali - a key transit and logistics center for US companies & personnel.

He emphasizes this is deterrence, not a declaration of war, and claims Iran could hit these targets easily, even without missiles and could use rockets from its coastal sites.
Na hapa atakuwa kawakaba koo hawata pumua tena
 
Sawa wewe ni mjuzi wa Siasa za Iran kwahio unaamini nyie mnaweza kuzuia Iran asiwe na nyuklia?
Iran hawezi kuwa na Nuclear sababu kichwa chake kibovu!!! Ndiyo maana Israel na nchi za Magharibi hawawezi kuruhusu Kichaa awe na jiwe kwenye nyumba ya vioo!!!

Na alivyobanwa hawezi kuruhusiwa na wakubwa kuwa na silaha za maangamizi ndiyo maana hawezi kuwa nazo!!!!
Unachekesha kinachozuia Iran asiwe na nyuklia ni fatwa ya Ayatollah Bado hajaidhinisha hadi Leo hii, ndio maana na washangaa wamarekani kumuwinda wakati yeye ndio Bado hajaruhusi lakini wanasiasa wote wanashinikiza Iran iunde bomu
kinachoizuia Iran isiwe na Nuclear ni Israel na nchi za Magharibi, Huyo Mfuga Midevu na Majini Ayatollah Hana lolote Hana fatwa wala nini!!! Ayatollah hata kama atawaambia watengeneze Nuclear leo hii hawawezi kwanza Wananchi wenyewe hawamtaki na safari hii hawezi kuona amekubali yakiwa la Marekani la kukaa hata hivyo hiyo haiondoi uwezekano wa yeye kupigwa!!!
 
Wanaharakati mavi ndo wanataka Tanzania ishambuliwe hivyo ili kuitoa CCM madarakani. Wapumbav sana
 
Back
Top Bottom