Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #201
Kwa Hezbollah na Houth mlikuwa mnapayuka maneno zaidi ya haya. Lakini sasa hivi Hezbollah wanapigwa kama Ngoma na wala hawawezi tena kurusha hata jiwe huko Israel!!Wakijaribu Hilo ndio mtaijua sura halisi ya Ayatollah yule ni Kama kiberiti Cha gesi nyikani. Mashariki ya kati yote itwaka nawambia
Endeleeni kumwimbia Mapambio Iran wenu lakini safari hii kaingia kwenye 18 za Mmarekani na Israel