Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

Iran hawezi kuwa na Nuclear sababu kichwa chake kibovu!!! Ndiyo maana Israel na nchi za Magharibi hawawezi kuruhusu Kichaa awe na jiwe kwenye nyumba ya vioo!!!

Na alivyobanwa hawezi kuruhusiwa na wakubwa kuwa na silaha za maangamizi ndiyo maana hawezi kuwa nazo!!!!

kinachoizuia Iran isiwe na Nuclear ni Israel na nchi za Magharibi, Huyo Mfuga Midevu na Majini Ayatollah Hana lolote Hana fatwa wala nini!!! Ayatollah hata kama atawaambia watengeneze Nuclear leo hii hawawezi kwanza Wananchi wenyewe hawamtaki na safari hii hawezi kuona amekubali yakiwa la Marekani la kukaa hata hivyo hiyo haiondoi uwezekano wa yeye kupigwa!!!
Unaakili ndogo Sana wewe yaan Pakistan watengeneze nyuklia ashindwe muajemi? Ina maana US anaehaha kufanya mazungumzo wew umemzidi akili?
 
🇺🇸 🇮🇷 Retreat of the "Abraham Lincoln" carrier group to a distance of 1400 kilometers from Iran

An informed source in the field of military intelligence reported that the "Abraham Lincoln" carrier group of the US Navy, along with some destroyers and accompanying submarines, is currently stationed near the Gulf of Aden and east of Socotra Island in southern Yemen.

According to this source, this carrier group is about 1400 kilometers away from Chabahar port in southeastern Iran.

In recent days, Iran had threatened that US attacks on West Asia would pose a very serious risk of regional war and push global oil prices above $150.
 
Vipi iko kipondo anachoshusha Trump kwa muajemi kimefikia wapi mleta mada.

Sie wengine tupo mpekenyela huku hatujui yanayoendelea.
 
Jf now DayZ ni kama Facebook TU, vijihabari vya kuokoteleza vimekua kibao. Kuanzisha thread imekua sifa sijui.
 
Wanaharakati mavi ndo wanataka Tanzania ishambuliwe hivyo ili kuitoa CCM madarakani. Wapumbav sana
Tumia akili zako vizuri hili ni jukwaa la kimataifa huu UHARO wako peleka Jukwaa la Siasa!!!
 
Unaakili ndogo Sana wewe yaan Pakistan watengeneze nyuklia ashindwe muajemi? Ina maana US anaehaha kufanya mazungumzo wew umemzidi akili?
Wewe ndiyo una akili ndogo Iran alikataa mazungumzo na US lakini baada ya mkwara kasalimu amri aabze mazungumzo ya kusitisha urutubishaji wa Uranium .

Safari hii Iran anatii kila kitu anachotishiwa na Marekani. Kwanza alitishiwa akiwanyonga waandamanaji atashambuliwa hilo katii, Pili katishiwa tena Akatae Mazungumzo Apigwe naona kachagua Mazungumzo ili asipigwe sasa hapo nani Mjanja?
 
Jf now DayZ ni kama Facebook TU, vijihabari vya kuokoteleza vimekua kibao. Kuanzisha thread imekua sifa sijui.
Kama ni sifa si na wewe uanzishe tukusifie kwani wewe hupendi kusifiwa?
 
Vipi iko kipondo anachoshusha Trump kwa muajemi kimefikia wapi mleta mada.

Sie wengine tupo mpekenyela huku hatujui yanayoendelea.
Hata tu radio ya mbao Huna hujui kinachoendelea? Huoni hata hizo mvua za rasharasha zinazoendelea huko Iran?
 
Ndege ya kivita ya Jeshi la Wanamaji la Marekani iliangusha ndege isiyo na rubani ya Iran Shahed-139 baada ya kuikaribia kwa nguvu meli ya USS Abraham Lincoln katika maji ya kimataifa katika Bahari ya Arabia. Kamandi Kuu ya Marekani ilisema ndege hiyo isiyo na rubani ilipuuza maonyo mengi na majaribio ya kupunguza msongamano wa ndege kabla ya kupopolewa. Hakuna mfanyakazi wa Marekani aliyejeruhiwa na hakuna vifaa vilivyoharibika.

Tukio hilo lilitokea huku vikosi vya Iran vikiendelea na mapambano katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa meli ya biashara yenye bendera ya Marekani katika Mlango wa Hormuz saa chache baadaye. Kundi la shambulizi la meli bado linaendelea kutumika kama sehemu ya juhudi za Marekani za kuzuia vitisho zaidi vya Iran kwa usalama wa baharini.
🇺🇸 🇮🇷 Retreat of the "Abraham Lincoln" carrier group to a distance of 1400 kilometers from Iran

An informed source in the field of military intelligence reported that the "Abraham Lincoln" carrier group of the US Navy, along with some destroyers and accompanying submarines, is currently stationed near the Gulf of Aden and east of Socotra Island in southern Yemen.

According to this source, this carrier group is about 1400 kilometers away from Chabahar port in southeastern Iran.

In recent days, Iran had threatened that US attacks on West Asia would pose a very serious risk of regional war and push global oil prices above $150.
Kuna kitu hujui!! Umbali kwa majeshi yaliyoendelea si hoja wanaweza kukushambuli popote walipo ila wewe huwezi!!
 
Breaking: IDF YAPIGA SILAHA ZA HEZBOLLAH

Jeshi la Ulinzi la Israeli linasema lilishambulia vituo vya kuhifadhia silaha vya Hezbollah kusini mwa Lebanon ili kuzuia majaribio ya kujijenga upya kwa Magaidi hao.

• Ghala moja iliwekwa ndani ya eneo la raia, ikionyesha jinsi Hezbollah inavyowatumia raia kama ngao za binadamu.
• IDF imetoa maonyo ya mapema na hatua za ziada zilichukuliwa ili kupunguza madhara ya raia.
• Shughuli hizi zinakiuka makubaliano kati ya Israeli na Lebanon na zinaleta tishio la moja kwa moja kwa Israeli.

IDF inasema itaendelea kuchukua hatua ili kuondoa tishio lolote kwa Taifa la Israeli.

View: https://x.com/MOSSADil/status/2018320397075091668?t=uLtPwDgqMVADLaEMlIbO5w&s=19

.
 
Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israeli Amir Avivi, akijibu swali kuhusu kwa nini Marekani inasitasita kuishambulia Iran, alisema:

"Operesheni hii si shambulio dogo kwenye vituo vya kijeshi au nyuklia. Tunakabiliwa na shambulio tata sana linalolenga mabadiliko ya utawala nchini Iran."

Alielezea kwamba operesheni hiyo itakuwa pana na yenye tabaka nyingi, ikilenga moja kwa moja uongozi wa utawala. Kulingana na Avivi, kwa kushambulia vituo vya mawasiliano na utangazaji wa serikali, uhusiano wa amri ya utawala na vikosi vyake kote Iran utakatwa. Aliongeza kuwa vituo vyote vya IRGC vitalengwa na, hatimaye, umma utakuwa na silaha.

Alihitimisha kwa kusisitiza: Kama Rais Trump alivyosema, msaada unakuja.

View: https://x.com/Osint613/status/2018677825813791146?t=jUXIT0XSKbJOHjjHE8TMxQ&s=19
 
Jf now DayZ ni kama Facebook TU, vijihabari vya kuokoteleza vimekua kibao. Kuanzisha thread imekua sifa sijui.
Jamaa kilaza kweli habari haijaripotiwa na Chombo chochote kikubwa Duniani bado ipo Jf na sio mara ya kwanza kuleta fake news
 
Jamaa kilaza kweli habari haijaripotiwa na Chombo chochote kikubwa Duniani bado ipo Jf na sio mara ya kwanza kuleta fake news
Chombo chochote kikubwa kipi? Aljazeera ndiyo chombo unachotegemea kupata habari?

Kwa taarifa yako kama hujui yanayoendelea basi wewe ni zuzu kama Mabumunda mengine!!.

Safari hii Iran Bwana wako kapatikana!! Lazima tu afumuliwe.
 
Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini hamjui kitu Mme karirishwa tu likitabu lenu lililo and ikiwa kwa lugha ya Majini Hilo tu ndiyo Najua haya mengine ninyi ni Mabumunda kama Mabumunda Mengine.

Kwenye aundishi wa Habari kuna vitu vitatu mhimu kuzingatiwa haijalishi uko wapi na unaripoti nini vitu hivyo ni:

CREDIBBLE SOURCE

RELIABLE SOURCE

AUTHOURITATIVE SOURCE


Habari ikiwa na vitu hivyo inaitwa habari wala hakuna hasa ya kuitilia Mashaka haya yote watu Uzi kama wewe huyajui ndiyo maana mna am iwe na Waarabu Free free Palestina ninyi bila aibu mnapayuka tu bila kujua kuwa hakuna kitu wala hakuna nchi inayoitwa Palestina!!! Ndiyo maana Mimi nawaita Mabumunda tu
JERUSALEM POST.



, "tel aviv gay capital of the world" https://share.google/L0u4GTA6zaSPNn3bT


CREDIBBLE SOURCE

RELIABLE SOURCE

AUTHOURITATIVE SOURCE
Watu weusi wananyongwa ovyo na WANA WATUKUFU WA TAIFA TEULE


View: https://youtu.be/QoLDG01QtGk?si=s4PjijQSICZWvqEX

taifa Teule linamkana YESU bila kigugumizi . Na lina waita wakristo MAKAFIRI WAABUDU SANAMU.



View: https://youtu.be/fSDytNu73Hg?si=SwkX0OdicG7jIlK8


View: https://youtu.be/7mTii2-nwB8?si=1nnMicW9tSzcukGu


BI Mkubwa wewe tunajua umeolewa na myahudi mweusi wa Monyokwa.
Lkn wale walioko Palestina wewe kwao ni kama mbwa tu. Tena mbwa ana anafadhali.

Sasa endelea kuwapigia debe manake wewe ni lost cause. Mtumwa asieweza kujitambua mpk siku ya mwisho.
 
Ila Iran akishambulia utampangia kwa kupiga!

Unafiki mbaya sana!
Huyo Dada Echolima1 labda humfahamu.
Ni jimama moja hivi la miaka 57 au zaidi na limeolewa na kuachwa zaidi ya mara 6 au 7 km sijakose.
Na waume wengi waliopita walikuwa wanajiita Wayahudi weusi.
Sasa akiongea humu we msamehe bure tu .
Hata akikatwa vidole atatumia ulimi kuandika sifa za taifa teule.
She is mentally unfit
Have mercy on her
 
Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israeli Amir Avivi, akijibu swali kuhusu kwa nini Marekani inasitasita kuishambulia Iran, alisema:

"Operesheni hii si shambulio dogo kwenye vituo vya kijeshi au nyuklia. Tunakabiliwa na shambulio tata sana linalolenga mabadiliko ya utawala nchini Iran."

Alielezea kwamba operesheni hiyo itakuwa pana na yenye tabaka nyingi, ikilenga moja kwa moja uongozi wa utawala. Kulingana na Avivi, kwa kushambulia vituo vya mawasiliano na utangazaji wa serikali, uhusiano wa amri ya utawala na vikosi vyake kote Iran utakatwa. Aliongeza kuwa vituo vyote vya IRGC vitalengwa na, hatimaye, umma utakuwa na silaha.

Alihitimisha kwa kusisitiza: Kama Rais Trump alivyosema, msaada unakuja.

View: https://x.com/Osint613/status/2018677825813791146?t=jUXIT0XSKbJOHjjHE8TMxQ&s=19

Wakijaribu Hilo ndio mtaijua sura halisi ya Ayatollah yule ni Kama kiberiti Cha gesi nyikani. Mashariki ya kati yote itwaka nawambia
 
Back
Top Bottom