Naamini waramba Makalio ya Magaidi habari hii inawashambulia sana maana walikuwa wanajua kabisa kuwa Iran hapigiki sasa anapigwa hivyo basi inasababisha maumivu makubwa sana hasa huko nyuma!!Moderator futeni hii fake News.View attachment 3537043
Hahaha msafisha vyoo vya Tela Aviv hizo ni silaha za zamani tokea vita vya Iran na Iraq wameziripua wao wenyewe wa Iran sababu hawana shida nazo, Iran mbona wemetangaza wenyewe hayo.BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7
Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil
Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache.
Israeli wala Marekani hawajatoa maoni.
Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani haina ubavu kuishambulia Iran lakini sasa Mikojo Ina Wataka ovyo tu Adiosamigo kahtaan Mlaleo Ritz YAJAYO YANAFURAHISHA!!!!
View attachment 3537015View attachment 3537016
Hebu tupe tofauti ya Milipuko na Mashambulizi!!!Mlipuko na mashambulizi ni mambo mawili tofauti.
Huyu mwamba naona aliapa kwamba nikiingia tena white house watanitambuaBinafsi sisapoti huu ujinga wa US. Kuingilia sovereignty za nchi zingine.
Huu ni ubabe usio na maana yoyote. Trump asipodhibitiwa atafanya mambo mengi sana ya hovyo.
Hahaha msafisha vyoo vya Tela Aviv hizo ni silaha za zamani tokea vita vya Iran na Iraq wameziripua wao wenyewe wa Iran sababu hawana shida nazo, Iran mbona wemetangaza wenyewe hayo.
View: https://youtube.com/shorts/bWieTSN7kKg?si=nGEyjsclDfgIxKgK
Safari hii mtanyooka tu!!
View: https://youtu.be/WA2u7Xs4R5w?si=Xxu88af9ZAohUz4n
Wambie wanao jua kiarabu wakutakuambia Iran wamesema nini, USA hagusi Iran na wao target yao nikupiga Iran siku alio tawala Ayatollah Ali Khomen tarehe 1st February je watajaribu haya tuone mpaa kesho.
sawa na mwenyewe ni mmojawapo naufatilia kwa ukaribu huu uzi, shida nikienda kwenye media nyingine kama BBC, DW,AFP na ALJAZEER sioni hichi ulichopost hapa.Na wewe ukiwa mmoja wao!!!!
Kwa maana akili zako zimeshikwa na BBC,DW na Aljazeera? Acha ujinga wako wewe!!!sawa ni mwenyewe ni mmojawapo naufatilia kwa ukaribu huu uzi, shida nikienda kwenye media nyingine kama BBC, DW,AFP na ALJAZEER sioni hichi ulichopost hapa.
Wewe muisrael koko endelea kuosha vyoo Tela Aviv nasikia Netanyahu na Sarah wameisha anza kuharishia kwenye Pampers we kazikusanye afu zikumbatie.Wajinga nyie mlikuwa mnapinga kuwa Iran hawezi kupigwa kapigwa sasa na makamanda wake wameuwawa mwambie na Mwarabu-koko mwenzako Sir John Deere apeleke ujinga wake kwa Ayatollah Ali Khamenei
Hili Echolima1 na kuambia kweli ni kenge la mwisho, nilisha gundua siku nyingi ni muosha vyoo kuleTela Aviv na wengi waosha vyo Tela Aviv mikono yao imeisha regezwa huoni anaweza kuleta topic hata 10 kwa siku.Kwenye hiyo biashara yako ya kuuza kahawa kila stori ukiiskia unakimbilia kupost jf badala u focus na kubeba mabirika