Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Ayatollah sasa Matatani!!!

Moderator futeni hii fake News.View attachment 3537043
Naamini waramba Makalio ya Magaidi habari hii inawashambulia sana maana walikuwa wanajua kabisa kuwa Iran hapigiki sasa anapigwa hivyo basi inasababisha maumivu makubwa sana hasa huko nyuma!!

Ndiyo maana wanatumia nguvu nyingi sana kuzuia postkama hii lakini Mimi nawashauri tu watu Ali kipigo maana hakuna namna!!!
 
Hahaha msafisha vyoo vya Tela Aviv hizo ni silaha za zamani tokea vita vya Iran na Iraq wameziripua wao wenyewe wa Iran sababu hawana shida nazo, Iran mbona wemetangaza wenyewe hayo.


View: https://youtube.com/shorts/bWieTSN7kKg?si=nGEyjsclDfgIxKgK
 
Mlipuko na mashambulizi ni mambo mawili tofauti.
Hebu tupe tofauti ya Milipuko na Mashambulizi!!!

Wengine tuna jiulize huko Iran๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Kuna milipuko na mauaji katika saa za hivi karibuni; lengo ni nini?

๐Ÿ”นSambamba na milipuko katika majengo mawili ya makazi huko Ahvaz na Bandar Abbas, vyombo vya habari vinavyopinga utawala vimekuwa vikisambaza uvumi mwingi, ikiwa ni pamoja na kuuawa kwa kamanda wa kikosi cha majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, mashambulizi ya ndege zisizo na rubani huko Parand na Robat Karim, mlipuko huko Narmak, shambulio kwenye makao makuu ya kikosi cha majini, na matukio mengine kama hayo. Licha ya kukanushwa kwa uvumi huu na mamlaka rasmi, usambazaji wa taarifa hizi za uongo unaendelea.

๐Ÿ”นSanjari ya kuenea kwa uvumi huu na vitisho vya kijeshi vya Marekani inaonyesha kwamba adui, huku akitafuta kudumisha tishio la vita dhidi ya nchi, pia anajaribu kuchochea hali ya kisaikolojia ya jamii na kupanda hofu na hofu miongoni mwa watu. Katika hali kama hizo, umma kwa ujumla unashauriwa kushauriana na vyanzo rasmi na vya kuaminika katika vyombo vya habari.

โšช๏ธ Tunajua Iran atakanusha lakini Mashambulizi kama haya utaficha nini maana kuna watu wamekufa hivyo hata watajitahidi kuficha kipondo kiko palepale tu!!!
 
Binafsi sisapoti huu ujinga wa US. Kuingilia sovereignty za nchi zingine.

Huu ni ubabe usio na maana yoyote. Trump asipodhibitiwa atafanya mambo mengi sana ya hovyo.
Huyu mwamba naona aliapa kwamba nikiingia tena white house watanitambua
 
Hapo report ikitolewa watakachokifanikiwa kupata ni ndevu za ayatols yui
 
Hapo report ikitolewa watakachokifanikiwa kupata ni ndevu za ayatols yui
 
Hapa kuna member hapa wamekaa wanaufwatilia huu uzi kwa ukaribu utadhani wanatizama mtanange wa fainali kati ya Senegal na Morocco.
 
Kwenye hiyo biashara yako ya kuuza kahawa kila stori ukiiskia unakimbilia kupost jf badala u focus na kubeba mabirika
Bora Mimi nina biashara ya kuuza Kahawa Je wewe Unayeosha makalio ya waarabu tukueleweje?
 
sawa ni mwenyewe ni mmojawapo naufatilia kwa ukaribu huu uzi, shida nikienda kwenye media nyingine kama BBC, DW,AFP na ALJAZEER sioni hichi ulichopost hapa.
Kwa maana akili zako zimeshikwa na BBC,DW na Aljazeera? Acha ujinga wako wewe!!!
 
Wajinga nyie mlikuwa mnapinga kuwa Iran hawezi kupigwa kapigwa sasa na makamanda wake wameuwawa mwambie na Mwarabu-koko mwenzako Sir John Deere apeleke ujinga wake kwa Ayatollah Ali Khamenei
Wewe muisrael koko endelea kuosha vyoo Tela Aviv nasikia Netanyahu na Sarah wameisha anza kuharishia kwenye Pampers we kazikusanye afu zikumbatie.

Lini Iran kapigwa aliye rusha risasi ya nwisho kwenye vita huwa yeye ni mshindi sio aliye anza kurusha, simlijidai mmevunja Nuclear zake, sa mbona mnalilia tena Iran awachane na Nuclear hahaha nyie tukiwambia mashoga mmezowea kujikusanya Tela Aviv mnabisha.

Safari hi vita vikianza Iran atakuchafua mpaa wewe, utarudishwa kwenu kwa bibi zako uchagani kama kifusi kenge mmoja wewe.
 
Kwenye hiyo biashara yako ya kuuza kahawa kila stori ukiiskia unakimbilia kupost jf badala u focus na kubeba mabirika
Hili Echolima1 na kuambia kweli ni kenge la mwisho, nilisha gundua siku nyingi ni muosha vyoo kuleTela Aviv na wengi waosha vyo Tela Aviv mikono yao imeisha regezwa huoni anaweza kuleta topic hata 10 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ