Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Ayatollah sasa Matatani!!!

Wafuga Midevu na Majini akili zenu mnazijua ninyi wenyewe!!!

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya kiislamu ya Iran wanapayuka Kifo kwa wa Marekani!! na Kifo kwa Israel cha kushangaza nchi wanazoziombea zife ndiyo zinazidi kushamiri tu na kupata Maendeleo makubwa!! Bali wao wanazidi kudimimia chini.
 

Attachments

  • -5335622224173865214.mp4
    1.9 MB
Wafuga Midevu na Majini mna matatizo mengi sana ndiyo maana mnashindwa kufuga Ng'ombe wa Maziwa na kuku wa Mayai mnakalia kufuga Majini yasiyo na faida yoyote!!

Angalia video hapo chini Nguruwe wewe, Nilishakuonya mara nyingi Acha USHOGA unatia aibu sana Nguruwe wewe!!
 

Attachments

  • bac828c7576de84723a73f8c8fba4ad2.mp4
    5.4 MB
Bahati nzuri sana hata hujui maana ya Source!!!
Ndio sababu ni kakuambia ni za ukuta ubwaba anao uabudu Netanyahu, toka lini twitter ikawa news source ๐Ÿ’ฏ kwa hio mimi ni ki tweet hata niseme uwongo we unaamini nilicho andika na unaweka kama ndio habari haha nikikuambia wewe ni kenge unabisha.
 
Wabongo bhana, wanajifanya wamarekani weusi kufatilia ya wamarekani wakati ya hapo kizimkazi mnayashindwa
Binadamu hajaumbwa kujifunga na habari za aina moja katika maisha yake, ameumbwa kutafuta habari na kupeana habari.

Ya Kizimkazi si habari mpya yanafahamika dhahiri.

Kushea taarifa mpya ndiyo ujanja wenyewe mkuu.
 
Hahaha wenzako leo wamesherekea miaka 47 na leo siku ya kuingia Ayatollah Ali Khomen madarakani we baki unasafisha vyo huko Tela Aviv


View: https://youtube.com/shorts/bjUqMHmnGJU?si=T0ZtqAskPeTOjQk6
 
Narudia tena Wafuga Midevu na Majini acheni Ujinga!!!
 
Twitter ni source ya habari pia. Utofauti utakuja unaichukia hiyo habari kwa nani. Wewe ukitweet haiwezi kuwa habari, Ila Samia akitweet hiyo itakua habari

Khamenei habari zake mara nyingi huziandika Twitter na si kupitia press. Leo kaweka tweet kuhusu vita yao na marekani, hiyo ni habari na imechukuliwa na media zote.
 
Kwenye picha nilizoziweka umejuaje au umedhibitisha vipi ni AI images? Na kama unasema Mimi sina Elimu hizo AI images nimezitengenezaje wakati Mimi sina Elimu yoyote? Wafuga Midevu na Majini mnapaswa kuombewa ili hayo Majini yawatoke!!
Sasa kuna ndege yoyote imerusha bomu Iran? Punguza utoto na nakuweka kwenye ignored list.

I can't debate with a senile guy like you.
 
Kwako wewe nani.?
 
We hebu rudia nilicho andika nimesema Twitter haiwezi kuwa habari ๐Ÿ’ฏ na wewe ndio umejibu sio kila anaye tweet habari zake ๐Ÿ’ฏ umetoa mfano wa Samia na Ayatollah na mimi. Sa ulicho bisha nini je ni ki tweet mimi kwani ukatae hahaha.

Sa we unataka tuamini kila Mmarekani au Myahudi aki tweet?

BTW narudia trna Social media and other alt media sources are the worst places to get reliable news. They do not follow a professional code of ethics. There are no gatekeepers. Kila mtu anaweza kusema anything they want.
 
Sasa kuna ndege yoyote imerusha bomu Iran? Punguza utoto na nakuweka kwenye ignored list.

I can't debate with a senile guy like you.
Hapo ndipo naelewa ni jinsi gani ulivyo mjinga na mpumbavu!!

Sasa angalia hapo chini mlipuko wa Gas tena mjini Tehran usiniulize ndege ili toka wapi!!!
Niliwaambia kuwa hizi ni Mvua za Rasharasha za Masika bado kabisa hazijaanza hivyo Kaa kwa kutulia mjinga wewe!!!

Na hiyo mseme ni mlipuko wa Gas wajinga nyie!!!!!
 

Attachments

  • 5617930018978070442.mp4
    143.7 KB
Mjinga aliyezaa kila.za kama wewe, na usiwahi kuni quote tena maana hatufanani kwa lolote.

Jitu linapewa hadi source za West ila bado linalazimisha ni air strike!! Sasa bomu gani hilo lipigwe kwa mama ntilie? Ingekua bomu si wangelipua kambi au nuclear facility?

Na upo kwenye ignore list so sitarajii kuona comments zako tena you embicile. Kabishane na la saba wenzako.
 
Hoja yangu ni twitter ni source ya habari, inategemea unachukua kwa nani

Hakuna niliposema kila anachoandika mmarekani unapaswa kuchukua, nilichomaanisha ni kuchukua habari kutoka kwa public figures

Wewe ulianza kusema sio source ya habari, kitu ambacho si kweli.
 
Toa ujinga na Upumbavu wako hapa!!! Kwa ujinga wako unataka kuwapangia Marekani na Israel wampige namna gani hawara yako Iran??

Unataka kuwalazimisha watumie ndege kuishambulia Iran?

Marekani na Israel wanajua namna gani wataweza kuubonda utawala wa Ayatollah na Who are you Mpaka uwapangie wapigwe kwenye vituo vya Nuclear? Wao wanajua wapi pa kumpiga Mfuga Midevu na Majini huyo!!!!.

Wewe wadanganye Mabumunda wenzako tu ambao hawajui kitu kama wewe!!!
 
Sasa nimeamini kwani Wakatoliki wanasemaga kuwa mlokole ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ