Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

Watu weusi wengi ni macarrier wa Corona. Ndo maana China walikasirika.Wengi waafrica hawana dalili ila wanaambukiza.
 
Hiyo sio deffence wakasome principle ya EGGSHELL SCULL RULE katika tort
 
So what???
Wanataka kusema he was dying anyway?
Wanataka kusema he infected the officers??

Waache wenge fisi maji hao.

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Watu weusi wengi ni macarrier wa Corona. Ndo maana China walikasirika.Wengi waafrica hawana dalili ila wanaambukiza.
Carriers wa ugonjwa uliokuwa manufactured na watu weupe...
Kwahiyo ingependeza watu weusi waugue??
Who's to blame?? Manufacturers or carriers?

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Kwanza walianza na kusema alikuwa na "underlying health issues" ndio maana alifariki baada ya kuminywa kidogo tu. Baada ya independent report ya pili kupinga hilo, sasa wanakuja na hii kitu. The guy was brutally murdered on camera. Plain and simple.
Ndugu,soma uelewe,kuwa na corona hapo haikumaanisha hawajachangia kifo chake.
 
They want us to believe or to feel like ,if he hadn't been murdered he would have died anyway, since he had Covid-19.
Not true.
Wala ile report ya underlying medical condition isinge waexonorate wale askari.
80% ya binadamu tuna magonjwa.
 
I am just thinking outside the box...
Katika watu wanaofariki kwa ajali tu na kesi hazifiki mahakani,ndipo autopsy inaweza isihitajike. Kwa ile shughuli pale lazima wapige autopsy...Vipi kama angekuwa na drug overdose
 
Tunakubali marekani ni nchi tajiri duniani lakini ni nchi yenye uchafu mwingi uliokithiri wa kibaguzi.
 
1591267639410.png
 
Haya mambo ya Marekani sasa yanakuwa kama kule kwetu, jambo kama hili la wazi limetokea wanajaribu kuleta ubishi ubishi

Kule kwetu mwanafunzi aliuliwa ajabu aliyeuwa anadunda lakin Chadema ndio wanakiona cha moto
 
Back
Top Bottom