Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

Sidhani kama taarifa ya Floyd kuwa na Coronavirus ina lengo la ku mitigate kesi inayowakabili hao mapolisi.

Mnaodhani hivyo mnajihisi tu.

Nadhani ukizingatia hii ‘[manufactured’ health crisis] iliyopo hivi sasa, ni muhimu pia kuzingatia namna ya ku handle maiti ili kuepusha maambukizi zaidi.

Y’all read too much into stuff...
 
Ni muda sasa wa tanzania ku chukua uchumi wa dunia
 
dah jamaa alinivutia sana kuhusu kifo chake ils nlivyogundua tu kuwa ni mcheza porno nkamtoa cv zote
 
Hii ripoti sioni msingi wake na sijaelewa kwa nini hiyo autopsy itolewe kipindi hiki kuna ambacho dunia inataka kuona justice for Floyd.

I see no connection btn his contraction of Covid-19 vs the murdered crime issue on the table. Wangejikita kudeal na tuhuma za mauaji.
Wana taka kusema kwamba ugonjwa ndio uliosababisha George kufa nasio kugandamizwa na goti shingoni
 
Wale wazee wa kutoa reference za Marekan kwny mambo haya nadhan Mbupu zinawasinyaa wakisia figisu figisu za dhahiri za kuharibu kesi
 
Back
Top Bottom