Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

Ukishacontract COVID, "tatizo la upumuaji" linakuhusu. Hawa wanataka kuplant seed ambayo defense lawyers na/au jurors wanaweza kuja kuitumia dakika ya mwisho
Unachokisema inawezekana kabisa ndicho wanakiandaa kwa sababu ukiangalia timing ya kutoa autopsy report na cheos zilizopo ni kama vile kuwaambia 'relax guys, by the time of incedent your boy was half dead'.
 
Ni sawa kuwa na COVID-19 lakini hajafa kwa huo ugonjwa. Hapa tunachooangalia chanzo cha kifo.
Hilo limekwisha zungumzwa pia. Matokeo ya uchunguzi huu hayana mahusiano yoyote na kifo chake.
 
Kwani we akili unazo
Missile of the Nation

Njoo uone wahuni wakizungu hapa wanavyotaka kutuona watu hatuna akili[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwan mwenye koronya anastahili kuuliwa ?!

watetezi wahaki za bina adamu kiukweli katika hili sijawaona ama miye tu ndio sijafuatilia ?!

Papa mwenyewe naona leo ndio kaongea eti baada ya week nzima


Hapa tuna lakujifunza.....
 
Ila hakufa na Corona,aliuliwa na polisi.
Trump na yeye anakuwa kama muafrika TrumpAfro,
 
Ukikosa vichekesho Afrika utakutana navyo Amerika! Kwa hiyo wanataka kutuambia nini hasa, kwamba amefariki kwa kukosa pumzi ama!
Ni homicide. Amesababishiwa mauaji na mtu mwingine.
 
Ukiingia thehabibshow.com/bigfloyd utakuta jamaa alikuwa nacheza picha zetu zile.
 
Watu weusi wengi ni macarrier wa Corona. Ndo maana China walikasirika.Wengi waafrica hawana dalili ila wanaambukiza.
Who is to blame then?
A carrier or a manufacture of the disease?
So a carrier has right to be punished anyway?
 
George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki chache kabla ya kifo chake, ripoti ya uchunguzi wa mwili ya siku ya Jumatano imeonesha.

Hati yenye kurasa 20 iliyotolewa na Ofisi ya Uchunguzi wa Kitabibu ya Kaunti ya Hennepin imesema kuwa, vipimo vya COVID-19 vya Floyd vya mnamo Aprili 3 vilionesha uwepo wa maambukizi ya virusi hivyo, ripoti iliyotolewa kwa umma kwa ruhusa kutoka kwa familia ya Floyd.

Kwa sababu RNA ya kirusi yaweza kubaki katika mwili wa binadamu kwa wiki kadhaa baada ya ugonjwa kutoweka, kulingana na uchunguzi, kipimo cha mara ya pili kilichoonesha uwepo wa maambukizi baada ya kifo chake kilimaanisha kuwa Floyd, 46, alikuwa na maambukizi ya awali yasiyo na dalili alipofariki dunia mnamo Mei 25.

====

George Floyd had coronavirus, autopsy says

The 20-page document released by the Hennepin County Medical Examiner's Office says an April 3 test on Floyd was positive for the virus’ genetic code, or RNA.

Because that RNA can remain in someone's body for weeks after the disease is gone, the autopsy says, a second positive test after his death likely meant that Floyd, 46, was asymptomatic from an earlier infection when he died May 25.

The Centers for Disease Control and Prevention has said a positive RNA test doesn't necessarily mean the person is infectious. It wasn't immediately clear whether Floyd developed symptoms earlier in the year or was an asymptomatic carrier.

Source: NBC News

====

George Floyd tested positive for coronavirus

The man who died while being restrained by police in Minneapolis, prompting widespread unrest across the US, tested positive for coronavirus, his full autopsy report reveals.

The findings from the Hennepin County Medical Examiner's Office say that it was known that George Floyd had previously tested positive on April 3, but the post-mortem swab collected on 26 May showed he was still positive for the virus.

“The autopsy result most likely reflects asymptomatic but persistent PCR positivity from previous infection,” the autopsy says, referring to the polymerase chain reaction tests that are used to detect presence of the virus.

The autopsy does not link the presence of coronavirus to Floyd’s death. A summary report issued on Monday concluded that Floyd had a heart attack while being restrained by officers and classified his May 25 death as a homicide.

Source: Financial Times
Ila kifo kilisababishwa na kukosa hewa kwa kukabwa.

Corona hata waTZ tunatembea nayo na shughuli zinasonga
 
Mareakani Corona imeisha? Mbona huyu Balozi wao ana kimbelembele sana?
 
Kwa hiyo kafa kwa corona sio kuuawa na askari polisi Huo ushahidi utamsaidia Askari kutoka kuwa Hana kosa
 
Back
Top Bottom