Iran kadhalilishwa sana na Israel si ajibu mapigo yaishe. Anasubili afanyiwe nn ndo apate mzuka kafanyiwa kila kitu kinachoitwa an act of war lakini kazi kubwabwaja. Aliahidi Israel akivamia Gaza ataingilia lakini kimya tu hajawahi hata kuingilia kwa kuwapa manati hao HamasHumu vijana wakiambiwa Israel bila mataifa ya magharibi wakiongozwa na marekani ni mwepesi kwa Iran wanabishaa
Ushahidi kila siku unamwagika namna mkwara wa Iran unavyowangaisha magharibi nzima namna ya kumlinda Israel asichapike
Iran anaitwa gaidi na mfadhiri magaidi,Israel naye anaitwa gaidi,ni heri wazichape ijulikane moja.Mashambulizi yakigaidi hua hayaangalii ulinzi mkali wala ulinzi dhaifu
Magaidi hua hawatangazi wakitangaza watu wanachukua tahadhari
Uliona trump alivyoshambuliwa je hakukua na ulinzi ila jamaa ilibakia sent afyekwe
Israhell ataadhibiwa kwa ugaidi aloufanya
Wewe uliliona shambulio la israhell dhidi ya iran
Israhell hii hii ishambulie halaf usione kwenye media inavyotaka sifa isokua nazo
Wanaoleta upumbavu ni serekali ya CCM inayofanya mambo ya kipumbavu.Watu tunajadili mambo ya kimataifa wewe unaingiza upumbavu hapa.
Wenzako hawapati usingizi kumlinda mwana mpendwa, anachokoza ugomvi kisha mbio kuomba kulindwaIran kadhalilishwa sana na Israel si ajibu mapigo yaishe. Anasubili afanyiwe nn ndo apate mzuka kafanyiwa kila kitu kinachoitwa an act of war lakini kazi kubwabwaja. Aliahidi Israel akivamia Gaza ataingilia lakini kimya tu hajawahi hata kuingilia kwa kuwapa manati hao Hamas
Wapi iliposemwa "wamemwangukia Iran❓" lugha hii inawatesa sana nyie jihadists. Iran imeagizwa usithubutu kuishambulia Israel.
Iran ina programu kubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora katika eneo zima na moja ya programu kubwa zaidi ulimwenguni. Iran ina mifumo yake mizuri ya ulinzi na ndiyo kwanza imepokea mifumo mipya ya S400 kutoka Urusi. Makombora ya Hypersonic na manowari na Navy.Mbona hayakuzuia kuuliwa kwa Haniyeh na mpenzi wake chumbani wakilala pamoja?
Weka ushahidi Iran wa hayo maneno yako JF siyo shehemu ya porojo.Iran mwenyewe juzi kasema atawavizia viongozi mmoja mmoja wa Israel, anajua hawezi kuipiga Israel kwa ukubwa wake, ajabu wewe kilaza unaamini hiyo kauli ya kumtuliza bwege kisaikolojia .
Wewe Muisrael mweusi ya Nyashishi bakia kupiga kelele bashaa wako Israel anaomba msaada Ulaya na Marekani wamsaidie anataka kupigwa na Iran.Aaah wapi! Kidume huwa hasikilizi kelele za wapuuzi
Iran alipue tu, asipifanya hivyo huku akikiri kupoteza wanajeshi wake kwenye balozi zake huko Syilia, kamanda wa Hamas kuuwawa nchini kwako, hata rais wao, sisi tunamuina ni mchumba tu mwenye kelele nyingi huku nanilii yake ilisha punuliiiwa kama bwawa tu
Haiwezekani nahaitakuja kutokea israhell iingie vitani bila msaada wa mataifa ya ulaya haiwezekaniHivi,tuseme ukweli. Kati ya Iran na Israel,nani tishio? Tuachane na kuungwa mkono. Wao wawili wakiingia vitani,nani ana nguvu zaidi?
Why is the west afraid of going to war with Iran , every simulation they did with Iran they ended up
Halafu rais anafia kwenye lihelikopta la miaka ya sitini huko made in USA Faida ya hiyo tech ni nini?Iran ina programu kubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora katika eneo zima na moja ya programu kubwa zaidi ulimwenguni. Iran ina mifumo yake mizuri ya ulinzi na ndiyo kwanza imepokea mifumo mipya ya S400 kutoka Urusi. Makombora ya Hypersonic na manowari na Navy.
Ni kweli israhell siyo tishio ila Israel ni habari nyingine yule Ayatollah mwenyewe analitambua hilo kwamba Thai wake upo mikononi mwa Netanyahu.Haiwezekani nahaitakuja kutokea israhell iingie vitani bila msaada wa mataifa ya ulaya haiwezekani
Kama hapo wanapigana na hamas tu wanapata sapot yamataifa karibu yote ya ulaya arabuni Americant nakeengineko
Israhell sio iran tu hata hawa hamas kama sio msaada wa mashoga zake muda huu hamas wangekua wanakunywa chai tel avivu na viunga vyake!
Sasa wewe mvaa msalaba wa mbao ungekuwa na akili mgemtajirisha Mwamposa kwa kuwauzia mchanga😀Halafu rais anafia kwenye lihelikopta la miaka ya sitini huko made in USA Faida ya hiyo tech ni nini?
Hao wavaa kobazi hawana lolote zaidi ya kufadhili uhalifu tu duniani
Wewe upo Kibosho hauna unachojua wasome mabashaa zako huko.Ni kweli israhell siyo tishio ila Israel ni habari nyingine yule Ayatollah mwenyewe analitambua hilo kwamba Thai wake upo mikononi mwa Netanyahu.
Pole kijana😀Ni kweli israhell siyo tishio ila Israel ni habari nyingine yule Ayatollah mwenyewe analitambua hilo kwamba Thai wake upo mikononi mwa Netanyahu.
⚡️🇮🇷BREAKING: Iran itajibu bila umuhimu wa mazungumzo ya kusitisha mapiganoAaah wapi! Kidume huwa hasikilizi kelele za wapuuzi
Iran alipue tu, asipifanya hivyo huku akikiri kupoteza wanajeshi wake kwenye balozi zake huko Syilia, kamanda wa Hamas kuuwawa nchini kwako, hata rais wao, sisi tunamuina ni mchumba tu mwenye kelele nyingi huku nanilii yake ilisha punuliiiwa kama bwawa tu
Iran ni sawa na wanaume wa Dar!⚡️🇮🇷BREAKING: Iran itajibu bila umuhimu wa mazungumzo ya kusitisha mapigano
Chanzo katika IRGC:
"Puuza kila kitu unachosikia kuhusu mikataba na Iran au majibu ya shinikizo la kuzuia kulipiza kisasi."
"Tehran inajiandaa kwa duru ya muda mrefu ya vita."
"Qatar iliarifiwa rasmi leo kwamba Kambi ya Anga ya Al Udeid na kambi zote za Marekani katika eneo hilo zitakuwa shabaha halali endapo itaingilia kati.”