Iran kadhalilishwa sana na Israel si ajibu mapigo yaishe. Anasubili afanyiwe nn ndo apate mzuka kafanyiwa kila kitu kinachoitwa an act of war lakini kazi kubwabwaja. Aliahidi Israel akivamia Gaza ataingilia lakini kimya tu hajawahi hata kuingilia kwa kuwapa manati hao HamasHumu vijana wakiambiwa Israel bila mataifa ya magharibi wakiongozwa na marekani ni mwepesi kwa Iran wanabishaa
Ushahidi kila siku unamwagika namna mkwara wa Iran unavyowangaisha magharibi nzima namna ya kumlinda Israel asichapike