Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani na Italia zilitoa taarifa ya pamoja kuiangukia Iran irudi nyuma washambulie Israel

Marekani, Ufaransa, Uingereza, Ujerumani na Italia zilitoa taarifa ya pamoja kuiangukia Iran irudi nyuma washambulie Israel

Ukiisha huu mwaka Iran hajareact chochote Nitajivua Rasmi Uanachama Wanaume Watakuwa Wamebaki Wawili Tu Mzee wangu Putin na Kim Jong. Imeisha Hiyo!!
 
Siyo Iran ni tishio wanahofia majibu yaIsrael pia.

Kumbuka Israel ilishasema nyuklia iko tayari.

Ukifikiri kidini kwenye haya mambo tayari utaonekana huna akili.
Sasa wanahofia majibu ya Israeli kwanini wasihofie majibu ya Iran? Israel alipiga ubalozi wa Iran mwezi April kule Syria lakini Dunia ilishuhudia majibu ya Iran ndani ya ardhi ya israel.kwahiyo kwa tukio la kuuwawa kiongozi wa Hamas Iran anaijibu hii na huu ndio wasiwasi wa huo umoja wa ulaya na marekani kuiomba Iran isitishe huo mpango .
 
Wanaukumbi,

Sisi viongozi wa Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na Italia tulijadili hali ya Mashariki ya Kati. Tulielezea uungaji mkono wetu kamili kwa juhudi zinazoendelea za kupunguza mvutano na kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kuwaachilia mateka huko Gaza.

Tuliidhinisha wito wa pamoja kutoka kwa Rais Biden, Rais Sisi wa Misri, na Amir Tamim wa Qatar wa kufanya upya mazungumzo baadaye wiki hii kwa lengo la kuhitimisha mpango huo haraka iwezekanavyo, na kusisitiza hakuna wakati zaidi wa kupoteza. Vyama vyote lazima vitekeleze wajibu wao.

Aidha, utoaji na usambazaji usio na vikwazo unahitajika. Tulionyesha uungaji mkono wetu kwa ulinzi wa Israel dhidi ya uvamizi wa Iran na dhidi ya mashambulizi ya makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Iran.

Tuliitaka Iran isimamishe vitisho vyake vinavyoendelea vya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Israel na tukajadili madhara makubwa kwa usalama wa eneo iwapo shambulio kama hilo litatokea.

JOE BIDEN, RAIS WA MAREKANI
EMMANUEL MACRON, RAIS WA UFARANSA
OLAF SCHOLZ, KANSELA WA UJERUMANI
GIORGIA MELONI, WAZIRI MKUU WA ITALIA
KEIR STARMER, WAZIRI MKUU WA UINGEREZA.

Hawa viongozi wa Ulaya na Marekani wote wanafafiki tu Kwa nini hawatoi tamko kwa ajili ya israel wafanya mauaji ya watoto huko Gaza? Israel inaishambulia kila siku Iran. Iran haina ya haki kujibu.

Iran imema hamna wa kuwazuia kulipa kisasi.

Mwaka 2022 walifanya hivyo hivyo kumwomba Putin asiivamie Ukraine. Putin alikaidi na sasa hivi tuko mwaka wa tatu na uvamizi huo wa special military operation ambayo imesabababishan sehemu kubwa sana ya jeshi la Urusi kuharibika.
 
Kweli Iran tishio wote hao wanamuomba asiipige Israeli.
Israel ndiye kaomba asishambuliwe kwa kutumia wajumbe wake , nadhani Iran inasubiri Israel waseme wenyewe na sio kusemewa la sivyo linaweza kutokea shambulizi la aina yake...
 
Ukiisha huu mwaka Iran hajareact chochote Nitajivua Rasmi Uanachama Wanaume Watakuwa Wamebaki Wawili Tu Mzee wangu Putin na Kim Jong. Imeisha Hiyo!!
Putin huyu dikteta uchwara akizidiwa kidogo tu anatishia nuclear.
Na sasa hivi kijana mdogo Zelensky ameamua kumpapasa makalio kabisa, atumie nuclear kulipua ardhi yake maana Ukraine ameteka mkoa mzima
 
Mwaka 2022 walifanya hivyo hivyo kumwomba Putin asiivamie Ukraine. Putin alikaidi na sasa hivi tuko mwaka wa tatu na uvamizi huo wa special military operation ambayo imesabababishan sehemu kubwa sana ya jeshi la Urusi kuharibika.
Naona kwa ushabiki mandazi unataja hasara za Urusi tu mbona hautaji hasara za Ukraine na wanaomsaidia😀
 
Putin huyu dikteta uchwara akizidiwa kidogo tu anatishia nuclear.
Na sasa hivi kijana mdogo Zelensky ameamua kumpapasa makalio kabisa, atumie nuclear kulipua ardhi yake maana Ukraine ameteka mkoa mzima
Ndezi kweli ingia mtandaoni uwe updated tunasema mission accomplished wameshafyekelewa mbali Time will tell
 
Hizi ni nchi zote zinazosambaza silaha kwa Israeli. Mshangao mkubwa.
Waarabu ni mazuzu sana
Wazungu wanajua sana kucheza na akili za waarabu
Kila inachofanya Israel hizo nchi zinajua sana nanzinatoa msaada wa intel nk

Lakini kwa kuwa waarabu ni mazuzu wataamini wanaogopwa na watakubali kutulia
 
MAREKANI NA WASHIRIKA WAKE NI WANAFIKI TU WANATAKA IRANI ISIISHAMBULIE ISRAEL WAKATI HUO WANAPELEKA SILAHA ISRAEL .......IN REALITY MAREKANI NDIO CHANZO CHA UKOSEFU WA AMANI DUNIANI
 
Kiswahili kisicho rasmi tunajumlisha watu wote wanao ishi ulaya bara amerika australi ni WAZUNGU

Na wote wanaoishi mashariki ya kati ukiondoa Israel ni WAARABU

Hao mazuzu wengi wa Mashariki ya kati ni wajinga sana na wanachezewa akili na wazungu bila kujitambua
Mazuzu kama wewe ndiyo mnaelewa hivyo Iran kuwa ni Murabu mapunguani sana nyie.
 
Mazuzu kama wewe ndiyo mnaelewa hivyo Iran kuwa ni Murabu mapunguani sana nyie.
Murabu ndio nani we kilaza?
Punguza mihemko

Ndugu zako katika imani wanachezewe akili na hawajitambui
Hao wanao msihi Iran asilipe kisasi ndio hao hao waliofanikisha zoezi zima la iran kushambuliwa halafu mnajisifia ujinga .... wahed thalatha
 
Mazuzu kama wewe ndiyo mnaelewa hivyo Iran kuwa ni Murabu mapunguani sana nyie.
Hawa wajukuu wa mkosaji nyumba shida sana, hawana kasoro kabisa na roll model wao. Wao wanadhani kila mtu akiwa Muislam basi ni Mwarabu hahaha, au ukiongea kiarabu na wewe ni Mwarabu tu, mbona wao wanaongea kizungu wamekuwa Wazungu.

Toka lini Muajami akawa Mwarabu hata kama wako wengi wao wanaongea kiarabu

Usiwalaumu roll model wao alilala chini ya mti akamuota Yesu na hawa huwa ndoto ni maji yanafata mfeleji 😄
 
Naona kwa ushabiki mandazi unataja hasara za Urusi tu mbona hautaji hasara za Ukraine na wanaomsaidia😀
Ni kweli kuwa Ukraine imepata hasara kwa kuvamiwa. Ukraine Haikutaka kuvamiwa, ila hasara alizopata mvamizi aliyejifanya supa pawa ni za kujitakia na ndizo tunazoangalia zaidi,
 
Naona kwa ushabiki mandazi unataja hasara za Urusi tu mbona hautaji hasara za Ukraine na wanaomsaidia😀
Kiko wapi; hao waliotekwa ni nani. Jeshi la urusi ni la constrcipts msasa wanapeleka hata wasiokuwa na training ama wanaishia kutekwana huenda kuuwawa kirahisi

1723749466565.png
 
Kiko wapi; hao waliotekwa ni nani. Jeshi la urusi ni la constrcipts msasa wanapeleka hata wasiokuwa na training ama wanaishia kutekwana huenda kuuwawa kirahisi

View attachment 3071247
Umeishajiuliza Urusi yupo vitani lakini anasambaza silaha sehemu zingine wewe uogopi?
 
Back
Top Bottom