Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

Una uhakika? Ukisha kuwa CCM unakuwa mfu wa akili!
Uhakika 100%. Mbona juzi kati umesikia sakata la Muller na mwenzake Barr?? Hahaha wajinga waliwao na hamjui wamarekani wana nia gani kwa nchi yetu. Kinachosiktisha zaidi mnapoona US ndiyo reflection ya demokrasia ya kweli badala ya kuangalia mazingira yetu mnashangaza sana. Mungu awalaani kabisa kwa kumtumikia ibilisi US
 
Demokrasia Mara zote imekua kichaka cha mabeberu.
 
Keshokutwa US wakitangaza kuipa serikali ya jiwe Shilingi 2B utakuja na post ya kuwashangilia.

Asante sana Bwana Yesu kwa kunipa akili na uwezo wa kuitumia; vinginevyo ningekuwa ccm.
Wewe Tz haiwezi kujipendekeza, hatuangalii uso wa mtu ukija tunakuchana tu. Ona US wanavyohangaika sasa hivi kuharibu amani yetu ili tuingie vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ila hawawezi na walishashindwa maana hata kule Libya wamestukia pia baada ya yule balozi wao kuuliwa na waasi kama akina ZZK, sasa wanataka iron man ashike nchi, so watu wanaendelea kufa. Nyie mashabiki msiotumia akili fungeni midomo yenu acheni nchi isonge mbele wajukuu zenu watakuja kufaidi
 
Hata roho yako wewe mwenyewe inakushuhudia kuwa UMEANDIKA UONGO. Nijibu hili swali kwa uaminifu KABISA na Mungu Jehovah awe shahidi.

Rais Magufuli alisema hadharani kuwa alipoingia madarakani alikuta sukari inauzwa Shilingi 5,000 kwa kilo ila yeye kaishusha na itaendelea kushuka. Alisema ukweli?
 
Twende taratibu... hapo alisema ukweli na sasa sukari ni Tsh 2400. Hiyo ilikuwa ni habari ya mwaka gani, je uhuru wa habari ni kuandika kuhusu sukari tu?....habari gani nyingine yenye ukweli tuitetee?... Magazeti yanayofungiwa ni kuwa hayakuandika kuhusu habari hiyo ama?... toa hoja za msingi ueleweke
 
Lini sukari iliuzwa Shilingi 5,000 kwa kilo KABLA HAJAINGIA MADARAKANI???
 
Tatizo sio habari au magazeti, ni uhalali na uhakika wa habari yenyewe. Baadhi ya wana habari wanatumia taaluma yao sio vizuri kwa kuweka uzushi na uwongo kupotosha jamii kisa wamekatiwa kutu kidogo.
 
Lini sukari iliuzwa Shilingi 5,000 kwa kilo KABLA HAJAINGIA MADARAKANI???
Labda ana maanisha yuko nje ya mji na anazungumzia kipindi kile sukari ilivyoadimika hadi waziri mkuu akaagiza sukari nje.
 
Back
Top Bottom