Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

Jamani anayejua anapotupeleka huyu jiwe atuambie

Weweeee! Acha kuchekesha watu; kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa tunakoelekea ni kubaya. Jiwe pekee hajui ukweli huo, na wanaomshangilia wanajua ila hawawezi kusema kwetu achilia mbali kumwambia jiwe.
 
Ha ha haaa, kwahiyo ukitaka kuthibitisha uhuru wa habari unatoa nakala za magazeti yaonekanayo.
Je, kama magazeti ni ya mlengo mmoja? Bado itakuwa uhuru wa habari?

Mi nadhani hatuangalii wingi wa vyombo vya habari lakini ni kwa wigo gani media zinapewa fursa sawa ya kuhoji, kuchunguza na kuhabarisha uma pasipo vikwazo au matishio kwa wanahabari na vyombo hivyo.
Hopeless Kabudi,hakijui hata akifanyacho.
 
Hivi unadhani US wao wanao uhuru?? Snowden, Asange wanawataka warudi US ili wawaue kwanini???? Pamoja na hiyo kauli kama haijafojiwa watanzania hatuwezi kutikisika na tutaendelea na kulinda uhuru wetu, US walikasirika tulipowanyima mikataba ma gas na mafuta, hivyo hasira zao tunazijua na hazitupi shida maana wamejitahidi sana kuingilia siasa zetu wameshindwa kabisa kabisa yaani wapo hoi hawajui system yetu ya nchi inafanyaje kazi maana wameangukia pua mambo kibao, na ndiyo maana mpaka sasa wamechanganyikiwa ile mbaya na bado. It's like China, US na mataifa ya mabeberu hawatokaa watuchonganishe au waingilie siasa zetu, na wala hawatakuwa sababu ya sisi kupigana vita kama ilivyo mataifa mengine, ila wanaoshirikiana na hao mabeberu Mungu atawaua mmoja mmoja na nchi itasonga mbele kwa mbele maana maombi ya wachungaji, mashekhe, maaskofu na watumishi wa Mungu kwa ujumla yapo juu ya nchi hii na hakuna mchawi yeyote anayejiita beberu ataweza kututeteresha
Shiiiiiiiiit
 
Hata roho yako wewe mwenyewe inakushuhudia kuwa UMEANDIKA UONGO. Nijibu hili swali kwa uaminifu KABISA na Mungu Jehovah awe shahidi.

Rais Magufuli alisema hadharani kuwa alipoingia madarakani alikuta sukari inauzwa Shilingi 5,000 kwa kilo ila yeye kaishusha na itaendelea kushuka. Alisema ukweli?
Unajua shetani huwa yupo kama ulivyo wewe, yaani kazi yake kubwa huwa ni kutafuta makosa kwa kila jambo ili aweze kukuhukumu, kwa hiyo sishangai
 
Keshokutwa US wakitangaza kuipa serikali ya jiwe Shilingi 2B utakuja na post ya kuwashangilia.

Asante sana Bwana Yesu kwa kunipa akili na uwezo wa kuitumia; vinginevyo ningekuwa ccm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109]
 
Hivi unadhani US wao wanao uhuru?? Snowden, Asange wanawataka warudi US ili wawaue kwanini???? Pamoja na hiyo kauli kama haijafojiwa watanzania hatuwezi kutikisika na tutaendelea na kulinda uhuru wetu, US walikasirika tulipowanyima mikataba ma gas na mafuta, hivyo hasira zao tunazijua na hazitupi shida maana wamejitahidi sana kuingilia siasa zetu wameshindwa kabisa kabisa yaani wapo hoi hawajui system yetu ya nchi inafanyaje kazi maana wameangukia pua mambo kibao, na ndiyo maana mpaka sasa wamechanganyikiwa ile mbaya na bado. It's like China, US na mataifa ya mabeberu hawatokaa watuchonganishe au waingilie siasa zetu, na wala hawatakuwa sababu ya sisi kupigana vita kama ilivyo mataifa mengine, ila wanaoshirikiana na hao mabeberu Mungu atawaua mmoja mmoja na nchi itasonga mbele kwa mbele maana maombi ya wachungaji, mashekhe, maaskofu na watumishi wa Mungu kwa ujumla yapo juu ya nchi hii na hakuna mchawi yeyote anayejiita beberu ataweza kututeteresha
BICHWA KAMA TOFALI!!
 
Uhakika 100%. Mbona juzi kati umesikia sakata la Muller na mwenzake Barr?? Hahaha wajinga waliwao na hamjui wamarekani wana nia gani kwa nchi yetu. Kinachosiktisha zaidi mnapoona US ndiyo reflection ya demokrasia ya kweli badala ya kuangalia mazingira yetu mnashangaza sana. Mungu awalaani kabisa kwa kumtumikia ibilisi US
Mungu akulaani kwa kumtumikia Mkuu wa Lumumba
 
Wewe Tz haiwezi kujipendekeza, hatuangalii uso wa mtu ukija tunakuchana tu. Ona US wanavyohangaika sasa hivi kuharibu amani yetu ili tuingie vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ila hawawezi na walishashindwa maana hata kule Libya wamestukia pia baada ya yule balozi wao kuuliwa na waasi kama akina ZZK, sasa wanataka iron man ashike nchi, so watu wanaendelea kufa. Nyie mashabiki msiotumia akili fungeni midomo yenu acheni nchi isonge mbele wajukuu zenu watakuja kufaidi
Hukijui hata ukisemacho wewe bata.
 
Toa upumbavu wako hapa.

Mkisimama bungeni mpambane ndani ya misingi ya sheria na sio kupiga kelele na kuzomea. Mayowe hayatatuwi shida za Mtanzania.
 
Wewe Tz haiwezi kujipendekeza, hatuangalii uso wa mtu ukija tunakuchana tu. Ona US wanavyohangaika sasa hivi kuharibu amani yetu ili tuingie vita vya wenyewe kwa wenyewe. Ila hawawezi na walishashindwa maana hata kule Libya wamestukia pia baada ya yule balozi wao kuuliwa na waasi kama akina ZZK, sasa wanataka iron man ashike nchi, so watu wanaendelea kufa. Nyie mashabiki msiotumia akili fungeni midomo yenu acheni nchi isonge mbele wajukuu zenu watakuja kufaidi
Kamuulize Dr Mpango anayo majibu yako.
 
Labda ana maanisha yuko nje ya mji na anazungumzia kipindi kile sukari ilivyoadimika hadi waziri mkuu akaagiza sukari nje.

Hata kipindi hicho ndugu; kwa umri wangu nilishuhudia kipindi cha "Miezi 18 ya kuinua uchumi" na bado sijawahi kuhushudia sukari ikiuzwa Shilingi 5,000 kwa kilo hata kwa "mwendo wa kuruka". The bottom line?

MAGUFULI NI MUONGO, NA HAJUI ALIFANYALO. NYIE MNAOMSHANGILIA ACHENI UNAFIKI HATA KAMA BINAFSI MNANUFAIKA.
 
View attachment 1087147
Katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari leo jijini dodoma...Kaimu balozi wa Marekani ametoa tamko la Serikali ya Marekani juu ya Hali ilivyo kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini kwa kumpiga kijembe waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi kwa kusema
"Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho yanayodai kuwa kuna Uhuru huo, bali ni kwa kutoa ripoti na Tafiti pamoja na habari za kuaminika.

Ikumbukwe kwamba wiki hii waziri kabudi alitembelewa na ujumbe wa marekani ofisini kwake na katika kuthibitisha kuwa kuna uhuru wa vyombo vya habari nchini, alitoa rundo la magazeti (Kama inavyoonekana pichani ) na kuwaonyesha akidai vyombo hivyo vina uhuru.

Swali ni je walikusanya na magazeti waliyoyafungia kwa kuandika habari nyeti za kumkosoa jiwe na serikali yake?....Je walihusisha pia magazeti yenye ripoti za kutoweka kwa waandishi kama Azory Gwanda?!
View attachment 1087144
Kabudi ni kama comedian. Hivi alikumbuka kuchukua na lile la kitengo la Tanzanite?
 
Hata roho yako wewe mwenyewe inakushuhudia kuwa UMEANDIKA UONGO. Nijibu hili swali kwa uaminifu KABISA na Mungu Jehovah awe shahidi.

Rais Magufuli alisema hadharani kuwa alipoingia madarakani alikuta sukari inauzwa Shilingi 5,000 kwa kilo ila yeye kaishusha na itaendelea kushuka. Alisema ukweli?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom