Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Toa upumbavu wako hapa.
Unaona udhaifu wako eh? ndio haya ninayo yasema, fateni sheria na sio kubwabwaja kama huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa upumbavu wako hapa.
Unajua shetani huwa yupo kama ulivyo wewe, yaani kazi yake kubwa huwa ni kutafuta makosa kwa kila jambo ili aweze kukuhukumu, kwa hiyo sishangai
Unaona udhaifu wako eh? ndio haya ninayo yasema, fateni sheria na sio kubwabwaja kama huku.
Nchi mbona iko vizuri na Kuna uwazi wa kutosha serikalini na ndo maana tunsshuhudia mafisadi wakinyoshwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109]Ndio, tena wananyooshwa kwenye ile mahakama ya mafisadi Mwakyembe aliyosema haina wateja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna waziri hapo.Hicho ni kiraka kuukuu kwenye nguo nzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109] heshima yako mkuu [emoji120][emoji120]Hata hivyo umempa sifa asiyostahili. Sio kiraka ila ni mkate uliotumika kama kizibo kwenye shimo la panya.
Hivi unadhani US wao wanao uhuru?? Snowden, Asange wanawataka warudi US ili wawaue kwanini???? Pamoja na hiyo kauli kama haijafojiwa watanzania hatuwezi kutikisika na tutaendelea na kulinda uhuru wetu, US walikasirika tulipowanyima mikataba ma gas na mafuta, hivyo hasira zao tunazijua na hazitupi shida maana wamejitahidi sana kuingilia siasa zetu wameshindwa kabisa kabisa yaani wapo hoi hawajui system yetu ya nchi inafanyaje kazi maana wameangukia pua mambo kibao, na ndiyo maana mpaka sasa wamechanganyikiwa ile mbaya na bado. It's like China, US na mataifa ya mabeberu hawatokaa watuchonganishe au waingilie siasa zetu, na wala hawatakuwa sababu ya sisi kupigana vita kama ilivyo mataifa mengine, ila wanaoshirikiana na hao mabeberu Mungu atawaua mmoja mmoja na nchi itasonga mbele kwa mbele maana maombi ya wachungaji, mashekhe, maaskofu na watumishi wa Mungu kwa ujumla yapo juu ya nchi hii na hakuna mchawi yeyote anayejiita beberu ataweza kututeteresha
Kabudi amezabwa kofi la mgongoni akatapika maharage.Hilo kofi alilobamizwa liko wapi
CCM ina watu makini sana, na ni chama pekee chenye msimamo na maslahi mapana ya nchi kwa africa
Ni kweli kabisa mkuu akili huna? Unafananisha tukio la Snoden na uhuru wa vyombo vya habari? Hivi wewe jamaa unatumia kilevi au ni akili zako za kawaida?Hivi unadhani US wao wanao uhuru?? Snowden, Asange wanawataka warudi US ili wawaue kwanini???? Pamoja na hiyo kauli kama haijafojiwa watanzania hatuwezi kutikisika na tutaendelea na kulinda uhuru wetu, US walikasirika tulipowanyima mikataba ma gas na mafuta, hivyo hasira zao tunazijua na hazitupi shida maana wamejitahidi sana kuingilia siasa zetu wameshindwa kabisa kabisa yaani wapo hoi hawajui system yetu ya nchi inafanyaje kazi maana wameangukia pua mambo kibao, na ndiyo maana mpaka sasa wamechanganyikiwa ile mbaya na bado. It's like China, US na mataifa ya mabeberu hawatokaa watuchonganishe au waingilie siasa zetu, na wala hawatakuwa sababu ya sisi kupigana vita kama ilivyo mataifa mengine, ila wanaoshirikiana na hao mabeberu Mungu atawaua mmoja mmoja na nchi itasonga mbele kwa mbele maana maombi ya wachungaji, mashekhe, maaskofu na watumishi wa Mungu kwa ujumla yapo juu ya nchi hii na hakuna mchawi yeyote anayejiita beberu ataweza kututeteresha
Na magumu yamekuwa mambo kwelikweliMambo ni magumu
Maharage ya LumumbaKabudi amezabwa kofi la mgongoni akatapika maharage.
Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuandika ujinga uliouandika. Mie sijui kuremba I call a spade by its original name.
Unajua shetani huwa yupo kama ulivyo wewe, yaani kazi yake kubwa huwa ni kutafuta makosa kwa kila jambo ili aweze kukuhukumu, kwa hiyo sishangai
Mzoga wa fisi hatari sana huuNchi mbona iko vizuri na Kuna uwazi wa kutosha serikalini na ndo maana tunsshuhudia mafisadi wakinyoshwa