Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

Tatizo lenu watanzania wabishi I keep telling you this Kabudi guy is useless, na nina uhakika kaboronga sana kwenye negotiations za mikataba na kaonyesha hakuwa mwelewa ndio maana ACCACIA wanajeuri ya kutolipa kama chief negotiator hana anachokijua why watupe hela kirahisi.
 
Kila mmoja na mtizamo wake,wingi wa machapisho nayo ni sababu pia ya uhuru wa habari
 
For the first time in the history of this country even the donor countries are staying away from this country also international corporations like WB and IMF are criticising this dictator for stupidity but because you have ZERO IQ you won’t be able acknowledge that.


It seems that your paddling the wrong way a lot these days, hata Unguja you called a spade by its name leo hii your hanging by a thread.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Consider this keyword, PROJECTION. You cant use projected figures as your primary baseline. And jaribu kupitia TIC kujiridhisha kama kweli investors wamekimbia (and i mean serious investors sio speculator or rent seekers).
 
Trump ni mmoja wa viongozi asiyependa uhuru wa media, q
Wanahabari wa gazeti la Washington times na cnn hawakaribishwi vizuri kama kawaida ya sheria white house, na wengine walinyanganywa vibali.

Hata kwenye press conference zake anawajibu kebehi na mara nyingi kutowapa fursa.
 
Ni sawa na ambavyo demokrasia haipimwi kwa idadi ya vyama vya siasa. Wakati wa Mobutu, kulikuwa na vyama zaidi ya 100 kule DRC. Ilikuja kubainika vikikuwa vyama vyake.
Kabudi anaangalia idadi ya magazeti yakiwemo ya akina Musiba.
Naye eti ni Profesa, tena wa sheria. Afadhali kuongozwa na akina Msukuma na Kibajaji.
 
Nimecheka sana,Jamaa kaenda na magazine zake, ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amempiga kijembe waziri au kawapiga vijembe waandishi makanjanja? Au ndiyo watu tunajaribu kutafsiri tunayoyapenda kwa tunavyotaka yawe? Kasema uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa machapisho mengi bali kwa tafiti na habari za uhakika. Someni tena na mrudie mara nyingi mtaelewa. Msiwe watu wa kupotosha Mungu hapendi.
 
It seems that your paddling the wrong way a lot these days, hata Unguja you called a spade by its name leo hii your hanging by a thread.
I would write it like this; It seems that YOU ARE paddling.........leo hii YOU ARE hanging by.........."
 
Hapo alibeba magazeti ya jamvi, Tanzanite , habari leo, uhuru, daily news,
 
Maskini Prof. wangu Kabudi, anapigwa za uso asubuhi mapema. Naamini sasa ukiwa kwenye siasa akili unashikiwa na wateule wako. Yaani Kabudi anafikiri ubalozi wa Marekani ni kama ukumbi wa pale Habari na Maelezo unapokusanya waandishi njaa na kuwagawia bahasha halafu wanakupigia makofi. Pole Profesa, soon utaitwa Propesa
 
Mambo ni magumu
Hivi elimu ya maprof wetu wakishapata teuzi inayeyuka au inakuwaje!? Sasa kulikuwa na mantiki dani kwenda na lundo LA magazeti? Hivi mpaka sasa huyo wazir ambaye pia ni mwanasheria bado hajui dhana ya 'Uhuru wa habari' ni kitu gani! Waafrika tutakuwa tunakasoro fulani akilini.
 
Hata kama hawana Uhuru (based on your argument) sisi tunapaswa kuwafundisha wawe na Uhuru wa habari. Siyo kwakuwa hawana na sisi tupite huko huko.
 

Afadhali umelisema hilo la vyama kuwa vingi. Juzi nimemsikia mtu anasema angependa Tanzania kuwe na vyama vingi SANA, hapo hapo nikakumbuka MOBUTU!!
 
Popoma la mapopoma katika kilele chako cha upopoma, lile lundo la magazeti mlilipeka kwa beberu ili iweje? Why bother to go through all that shit? Mmemponza Kabudi, he has just proved his stupidness.

Mnadanganya watu na kujifariji huku through back doors mnaenda kuwaramba miguu hao mnaowaita mabeberu, you're so shameless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…