britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Yes ila sana sana kutoka Kwa China , Lakin kaka Mkubwa alimuita china na India kwamba mki msaidia tutawashughulikia,Ka Zelensky kanapewa confidance na Wazungu wa Magharibi, Putin ana support ya Kiduku na XI Jinping
Kiduku amemwambia Putin akimruhusu anarusha ma scud mawili moja New York na lingine London.Joe Biden, jana amelipua visima na maghala ya mafuta huko Urusi karibu kabisa na Moscow, alafu akamwambia Zelesky atangaze kwamba kafunya yeye...😂
Na Putin alivyo jeuri, akaitangazia dunia kwamba hiyo ni ajali ya kawaida kama ajali zingine...😀
Duhhhh.....Kiduku amemwambia Putin akimruhusu anarusha ma scud mawili moja New York na lingine London.
Acha vichekesho we dada/mama.Kiduku amemwambia Putin akimruhusu anarusha ma scud mawili moja New York na lingine London.
Mpuzi fulani huyo kaleta kauzi ka kipuuzi. Msamehe tu.Hakuna taifa hapa duniani linaitwa malekani na wewe Bashite
Safari hii ni zamu yake kupigwa nyumbani kwake USA . Auwae kwa upanga naye hufa kwa upanga.Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari?
Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule ndiyo ukweli. Watu wanaokufa kule Ukraine unaweza kusema kuwa ni Putin anasababisha lakini ni wewe Marekani. Kama usingemsupoti zelensky vita hii ingekuwa imeisha. Ulitakiwa kupima madhara makubwa ambayo yatajitokeza kwa kuisupoti Ukraine.
Ndugu wakigombana unakaa katikati na siyo kuegemea upande mmoja, ukishindwa vita hii dunia itakudharau sana. Ukianzisha vita ya tatu ya dunia, utachekwa sana.
Kweli wewe ni MJINGA na huna akili ....Vita aanzishe urusi lawama apewe marekani?
Sio kweli.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ok kama ndo hivo basi waambie waache kuiba mafuta ya wana IRAQ ..Wazungu wa Magharibi wanaongeza uzalishaji wa magari ya umeme, kupunguza matumizi ya mafuta ili wasiitegemee sana Urusi.
We jamaa bhana eti kaka mkubwa sijui tutawashughulikia blah blah blah .....unashughulikiaje taifa linalojitengenezea silaha lenyewe halinunui kwa mtu ...na kwenye uchumi liko vizuri .....haya mambo ya kutishiana hapa duniani ilikuwa miaka ya 90 now now kila moja ana mapembe mzee na kuyakata inabidi huyo unaemwita kaka mkubwa ajipange kweli kweli ......Yes ila sana sana kutoka Kwa China , Lakin kaka Mkubwa alimuita china na India kwamba mki msaidia tutawashughulikia,
Britanicca
kama ulikuwa kwnye akili yanguWazungu wa Magharibi wanaongeza uzalishaji wa magari ya umeme, kupunguza matumizi ya mafuta ili wasiitegemee sana Urusi.
The same kama vile marekani na allies wake walizoea kupiga vijinchi vidogo vidogo .......iraq wakasingizia silaha za maangamizi ....ila linapokuja swala la URUSI OR CHINA hao vichaa marekani na wenzie akili zina wakaa sawa ....na URUSI hiyo hapo ina silaha za maangamizi ....ila hutawaona wakisogea na ukraine na ni wazungu wenzao inabondwa kwanin wasiingilie kati .....kama wanavifanya nchi zingine ....Acha vichekesho we dada/mama.
Hao jamaa zenu ni vichaa ila huwa akili wanazo linapokuja suala la Marekani na Uingereza.
Kupitia vita hii marekani anapima uwezo WA Russia kwenye medani za vita.mpaka sasa ameshajua Russia ni dhaifu Sana kuliko ilivyotegemewa,mpaka sasa Russia hakuna eneo la kimkakati aliloteka anarusha makombora hovyo.analenga mpaka watoto WA chekechea.mara ya kwanza vifaru vyake vilitapaka Ukraine vikapogwa hovyo.Kama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari?
Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule ndiyo ukweli. Watu wanaokufa kule Ukraine unaweza kusema kuwa ni Putin anasababisha lakini ni wewe Marekani. Kama usingemsupoti zelensky vita hii ingekuwa imeisha. Ulitakiwa kupima madhara makubwa ambayo yatajitokeza kwa kuisupoti Ukraine.
Ndugu wakigombana unakaa katikati na siyo kuegemea upande mmoja, ukishindwa vita hii dunia itakudharau sana. Ukianzisha vita ya tatu ya dunia, utachekwa sana.
Hakuna taifa hapa duniani linaitwa malekani na wewe Bashite
Vianze tuu,mimi nitachagua upande wa BeberuKama ungekuwa na busara ungewaita Rais Putin na Zelensky meza moja kujadiliana namna ya kumaliza vita hii lakini umeamua kuwa upande wa Ukraine. Huu ni ujinga mkubwa sana, unachochea uanzishwaji wa vita vya tatu ya dunia. Uko tayari?
Acha kiburi Marekani, ndiyo maana afande sele alikuambia ule ndiyo ukweli. Watu wanaokufa kule Ukraine unaweza kusema kuwa ni Putin anasababisha lakini ni wewe Marekani. Kama usingemsupoti zelensky vita hii ingekuwa imeisha. Ulitakiwa kupima madhara makubwa ambayo yatajitokeza kwa kuisupoti Ukraine.
Ndugu wakigombana unakaa katikati na siyo kuegemea upande mmoja, ukishindwa vita hii dunia itakudharau sana. Ukianzisha vita ya tatu ya dunia, utachekwa sana.
Kweli wewe ni MJINGA na huna akili ....