Marekani wanapeleka misaada ya kibaadamu Palestina Gaza huu ni ‘UNAFIKI’

Mnafki ni yupi??

USA anayetoa msaada au ni Palestina inayokubali na kupokea huo msaada?
Wapi Palestina kaomba msaada wa kibinadamu kutoka Marekani?
 
Unataka kusema nini kingine sawa husikii wewe kiziwi hata picha huoni?
Wewe pungauni kweli unaletea habari za kishoga unataka niseme nataka kukubandua mimi siyo zangu mtoto wa kiume unaitwa Uncle fujo kuna nini tena.
 
Mbona Hamas wameteka mateka na kuwatesa kisha wanawayendea wema kwa kuwabeba Mkuu
 
Hiyo ya kuwatesa uneipata wapi? Mbona wenyewe hawajasema.
 
Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.

Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?

Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.

Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.

Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
Hao unaosema ni ndugu zako umewapelekea nini zaidi ya kupiga porojo JF?
Marekani inatoa misaada karibia nchi zote duniani hadi Iran, Afghanista na nchi zingine wanapokea misaada
 
Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.

Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?

Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.

Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.

Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
Ni utawala usio na aibu (soni)hivyo haujui kutofautisha kati ya jambo baya na zuri, chochote wafanyacho ni sawa tu kwao!
 
Hiyo ya kuwatesa uneipata wapi? Mbona wenyewe hawajasema.
Mkuu haukuona walivyokuwa wanapita nyumba kwa nyumba kuteka? aliyekuwa anagoma aliuliwa waliobaki wanachukuliwa mateka hayo sio mateso?
 
Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.

Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?

Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.

Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.

Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
ndan ya gaza sio palestina kuna hamas na raia , hamas ndo target ya idf ila raia atakae jihusisha na hamas bas atajikuta ndan ya target ya idf
 
Uh huh. And how many bombs have you genocidal war criminals sent today to massacre thousands of children?
kwamba ulitaka israel wapuuz kuuliwa kwa watu wake 7 oct 2023
 
Christian, Jews and Muslims shared Palestine. Israel was forcefully created as a Apartheid Jew state By US, Canada, and UK. Now they are funding Israel to murder over 15,000 innocent Palestinian children and innocent civilians.

1701184485826.png
 
Unashangaa nini? Angalia nembo yao, ina alama gani? Wale hutoa kipondo huku wanakupa msaada wa kiutu ndio falsafa yao
 
ndan ya gaza sio palestina kuna hamas na raia , hamas ndo target ya idf ila raia atakae jihusisha na hamas bas atajikuta ndan ya target ya idf
Na West Bank ambako Hamas Wapelstina mbona wanauliwa kila siku?
 
Back
Top Bottom