Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema nini kingine sawa husikii wewe kiziwi hata picha huoni?Wapi Palestina kaomba msaada wa kibinadamu kutoka Marekani?
Rekebisha heading inasomeka 'kibaadamu'Uh huh. And how many bombs have you genocidal war criminals sent today to massacre thousands of children?
Hao unaosema ni ndugu zako umewapelekea nini zaidi ya kupiga porojo JF?Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.
Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?
Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.
Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.
Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
Hicho unachoona Gaza ndiyo malipo ya october 7Uh huh. And how many bombs have you genocidal war criminals sent today to massacre thousands of children?
Ni utawala usio na aibu (soni)hivyo haujui kutofautisha kati ya jambo baya na zuri, chochote wafanyacho ni sawa tu kwao!Wanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.
Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?
Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.
Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.
Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
Mkuu haukuona walivyokuwa wanapita nyumba kwa nyumba kuteka? aliyekuwa anagoma aliuliwa waliobaki wanachukuliwa mateka hayo sio mateso?Hiyo ya kuwatesa uneipata wapi? Mbona wenyewe hawajasema.
ndan ya gaza sio palestina kuna hamas na raia , hamas ndo target ya idf ila raia atakae jihusisha na hamas bas atajikuta ndan ya target ya idfWanaukumbi.
Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza.
Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake, kushambulia shule mahospitali kisha leo hii wapeleke misaada ya kibinadamu?
Huu ndo unafiki ambao kama hauna akili za kuchanganua mambo huwezi kuelewa namna dunia inavyokwenda.
Lakini hawa jamaa, mwisho wao umekaribia kwa maana kila aina ya propaganda ambayo wanaifanya kwa sasa, dunia iko macho muda wote.
========================
More shipments of Usaid food have arrived in Egypt before heading to Gaza.
Access to humanitarian aid is critical, and our Administration welcomes yesterday’s deal that'll allow for additional humanitarian aid to alleviate the suffering of innocent Palestinian families in Gaza.
kwamba ulitaka israel wapuuz kuuliwa kwa watu wake 7 oct 2023Uh huh. And how many bombs have you genocidal war criminals sent today to massacre thousands of children?
Unapenda kuf*rwa wewe. Muda wote unawaza hayo tuUsikute wanapeleka Kontena la condom na Net za mbu hawanaga cha maana zaidi ya kueneza ushoga..View attachment 2827372
Wenzenu walio taabani wanapelekewa misaada na wanaipokea na shukrani juu, ninyi mpo huku mmeshiba mnalaani mkitamani wasisaidiwe wafe zaidi mpate sababu ya kulia humu!Usikute wanapeleka Kontena la condom na Net za mbu hawanaga cha maana zaidi ya kueneza ushoga..View attachment 2827372
Hamas sio magaidiHuo ni msaada Kwa ajili ya innocent civilians. Kumbuka sio wapalestina wote wanaunga mkono ugaidi wa Hamas?!