Masikini wa tz ni tofauti na masikini wa Ulaya ama Marekani masikini wa tz hawezi kulala njaa...
jamaa kaongea point ya msingi sana sema umeshindwa kumuelewa....
Masikini aliyepo kwenye mfumo wa kijamaa na masikini aliyepo kwenye mfumo wa kibepari hawa ni watu wawili tofauti
tunaomba utufafanulie kivipi maskini wa TZ hawezi kulala na njaa.
Mimi binafsi nishalala na njaa mara nyingi tu