Tanzania mlishazoea kuishi kama MAITI huku WANASIASA wakiishi kama wako PEPONI.
Mnaamini Mtaishi Vizuri Peponi hapa duniani mapito tu.
Ndio maana hata Corona, Utawala Katili, Umasikini, Magonjwa HAMJISHUGHULISHI KABISA kupindua MEZA au KUBADILISHA MFUMO, Mnachoambiwa Ni Kuzoea tu KUISHI NAVYO.
Yaani kama kuna KINYESI NDANI, hakuna JITIHADA zozote za kukitoa - Ni Kujitahidi Kuzoea kuishi nacho.
Ndio Wabongo.
Wakati Marekani Wanajua Maisha Ndio Haya Haya, Na Wako Tayari Kupambana Kubadilisha MIFUMO.
Na mifumo hiyo inabadilika ndio maana leo hakuna nchi Afrika Yenye UCHUMI Mkubwa Kuliko Hata:
- Alphabet
- Apple
- Amazon