Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi


tunaomba utufafanulie kivipi maskini wa TZ hawezi kulala na njaa.

Mimi binafsi nishalala na njaa mara nyingi tu
 

hivi nyinyi muna akili timamu kweli?
 
yani munafananisha maskini wa U.S ambae per day anaweza tengeneza hata 100 - 150 USD na maskini wa Tz ambaye mwezi mzima hazidi 150 USD ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Trump mwenyewe alisema,ilibak kazi ya kila gavana na jimbo lake saiv watu wamerudi makazn.ni wachache tu ndo hawajafungua.

Hili ni agizo toka serekali na sio kwamba wanaiba iba
 

Hawezi kukuelewa huyo elfukumi ya tz ni sawa na elfu moja mkuu
Tena asijifananishe aisee mbele ni mbele tukubali wametuzidi
 

Hahahahahaha
 
Wengi ni asilimia ngapi ya watu wote waliokufa?Wapi imeelezewa sababu ni lishe?
Italia,Ufaransa na Uingereza ambako maelfu ya wazungu wamefariki sababu nayo ilikuwa ni lishe?

Kwenye vyakula mpo sahihi sosi tunakula vyakula vya lishe nzuri zaidi kuliko wao hapo mpo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…