MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.

Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.

Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.

Watanzania walochukua tuzo za AFRIMA-2016
*Best Male East Africa.
Diamond Platnumz.
- Best Newcomer African.
Harmonize tz.
- DJ bora barani Africa.
DJ D Ommy.


 
Hongera zao vijana,Harmonize Kaanza juz tu kaibuka na tuzo kubwa wakina barnaba,benpol kwenye game kitambo lakini hata kuzinusa tu bado Bora tu wakaombe usajili Wasafi Kama mwenzao mavoko!

-nyerere-
Haifai kuwalaumu kitu ambacho naona hawajataka kuzipata lakin wanauwezo wa kuzipata hasa barnaba na mkubal sana
Btw hongera sana Harmonizw n Diamond
Team wcb viva
 
Acha majungu aiseee kwani ungesema hongera ungekufa pigana upate nawe kesho yako hata kwa ku-cheat
 
DJ dommy kweli tuzo ni za kifala siku izi huo ubora wake ni upi tena Africa? Cheated again lol
Acha majungu aiseee kwani ungesema hongera ungekufa pigana upate nawe kesho yako hata kwa ku-cheat
 
Hongera zao vijana,Harmonize Kaanza juz tu kaibuka na tuzo kubwa wakina barnaba,benpol kwenye game kitambo lakini hata kuzinusa tu bado Bora tu wakaombe usajili Wasafi Kama mwenzao mavoko!

-nyerere-
Licha ya ukweli kwamba hawa vijana wa "wasafi" wanajituma na kujitangaza sana na pia nawakubali sana, lakini hiyo hainizuii kuona na kutambua kwamba hao uliowataja hapo kwenye kuimba bado sijaona wa kuwafananisha nao hapa Tanzania
 
Huyu Dj Ommy ana scratch kituo gani cha redio? Hongera kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…