MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

MAREKANI: Watanzania Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy washinda tuzo za Afrimma 2016

Papriiii papriiii yoooooh? bomboclot
 
Hongera zao vijana,Harmonize Kaanza juz tu kaibuka na tuzo kubwa wakina barnaba,benpol kwenye game kitambo lakini hata kuzinusa tu bado Bora tu wakaombe usajili Wasafi Kama mwenzao mavoko!

-nyerere-
Ukikaa karibu na waridi lazima Unukie🙄
 
DJ dommy kweli tuzo ni za upendeleo siku izi huo ubora wake ni upi tena Africa? Cheated again lol
Dj ommy ni dj wa diamond pia anafanya kazi clouds,hivyo ndo vinavyosababsha kupata tuzo,pia madj wa clouds huwa wanaenda hata kutumbuiza big brother mara nying tu
 
16a13f2065d207aa6f90d914faec2c9e.jpg
.
Hongera zake n yy kwa ushindi w tunzo y aina yake.
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom