George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hakuna kama Ben Pol na Barnaba Boy Afrika Mashariki...Licha ya ukweli kwamba hawa vijana wa "wasafi" wanajituma na kujitangaza sana na pia nawakubali sana, lakini hiyo hainizuii kuona na kutambua kwamba hao uliowataja hapo kwenye kuimba bado sijaona wa kuwafananisha nao hapa Tanzania
*sitaki shari