brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
ha ha ha ngoja wakusikie wenyewe team kibakuli mimi simoJamani tatizo ni kuwa wakat mtangazaj ana taka amtangaze Ali Kiba kuwa kashinda tuzo, mic ilizimwa. Ndio jamaa hakutajwa kwa kuwa harmonize alikuwa nyuma ya jukwaa
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]