Marekani wateka meli ya Iran iliyokuwa inapeleka silaha hatari kwa magaidi wa Houthi

Huyu jamaa huwa habari zake si za kuaminika hata kidogo. Hii habari sijui kama ina ukweli. Unaweza kuta hii stori ni ya wakati ule wa vita kati ya wahutu na Saudia. Watu wa propaganda wanachofanya ni ku edit tu hapari ili kuwapata manyumbu
IDF wangempata angekula shavu la media propaganda za maghaibi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hata hivyo bado Houth wameendeleza mashambulizi ya Meli.
 
We mwanamgambo ulivyokua muongo ni usikute ni jahazi la wavuvi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Source Jerusalem 😁 na kuna watu wanachangia mada yako😁
 
Huyu jamaa huwa habari zake si za kuaminika hata kidogo. Hii habari sijui kama ina ukweli. Unaweza kuta hii stori ni ya wakati ule wa vita kati ya wahutu na Saudia. Watu wa propaganda wanachofanya ni ku edit tu hapari ili kuwapata manyumbu

Haziaminiki Kwa sababu hupendi kusikia magaidi yakishughulikiwa sio?!
 
Ningekuwa mimi hata sihangaiki kuiteka meli na lipua na kilichomo. Najua wenzetu wanapenda ushahidi, na kulemba saaana. Nikiona mimi inatosha lipua, Gaidi ni hatari kwa ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…