Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
Sasaivi kinachofata ni kwamba Gaza itatawaliwa na wapalestina lakin vyombo vya usalama vitakuwa vya wayahudi kuanzia jeshi mpaka police
 
U
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.

Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.

Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.

US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates

Usichokijua ni kwamba BIBI alikuwa Yuko mbioni kuingiza ground forces Rafah ila Biden akamuomba atume delegation yake kwenda US ili wajadili namna Bora ya kuwaangamiza Hamas katka maeneo ya Rafah bila ground operation operation, pia kumbuka kwamba USA anaitambua Hamas kama kikundi Cha kigaidi kaa kwa kutulia yahayo yanafurahisha.
 
Israel maliza hao waarabu...nasubir ule msikiti wao upigwe bomu..biashara iishe!!
Wewe ni mjinga Sana ,,kuupiga mskiti WA Aqsa ina maana wataka utueleze kuwa ni kuufuta uislam ulimwenguni .. kakae na hao mashoga wenzio WA kizayuni na kiamerika na kamwe hamtaufuta uislam ,,mskiti WA Aqsa ni nyumba ya Allah tukufu na ni eneo takatifu lililoahidiwa kurithiwa na waislam na pambizoni mwake ,, Allah alishataja hayo katika zaburi na taurati kuwa ni mirathi ya waislam na kamwe hawatoweza kuufuta uislam Bali ni mateso ya muda Tu halaf ahadi ya uislam kushinda ipo pale pale na mayahudi watafutwa na uislam utakuwa juu ,mpaka atakapohukumu mola

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa watu wa Gaza wote ni Hamas.Watafanya kufru kubwa kwenye kuua na hawatawamaliza
1. Leo umeukubali ukweli wenyewe "MPAKA SASA WATU WA GAZA WOTE NI HAMAS". Israel anapigana na hamas. Wakilipua mabomu kuwauwa wanawake na watoto kumbe wanawauwa wanachama wa hamas maana mtoto wa nyoka naye ni... au? 2. Hizo bado ni mbwembwe tu. Yahudi hamsikilizi yeyote. Kesi ya ICJ inaendeleaje? maamuzi yake ni lini?
 
K
Wewe ni mjinga Sana ,,kuupiga mskiti WA Aqsa ina maana wataka utueleze kuwa ni kuufuta uislam ulimwenguni .. kakae na hao mashoga wenzio WA kizayuni na kiamerika na kamwe hamtaufuta uislam ,,mskiti WA Aqsa ni nyumba ya Allah tukufu na ni eneo takatifu lililoahidiwa kurithiwa na waislam na pambizoni mwake ,, Allah alishataja hayo katika zaburi na taurati kuwa ni mirathi ya waislam na kamwe hawatoweza kuufuta uislam Bali ni mateso ya muda Tu halaf ahadi ya uislam kushinda ipo pale pale na mayahudi watafutwa na uislam utakuwa juu ,mpaka atakapohukumu mola

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Kiufupi Israel ilishapiga nchi zote za kiarabu zilizokuwa zinapigana nao miaka hiyo wakateka eneo kubwa Sana la misri at that time walikuwa na uwezo wa kubomoa alqasa na hakuna mtu angeongea kitu lakin waliuacha ule msikiti, kwahiyo kimsingi hauna issue Sana na hata hekalu la kwo halikuwa pale
 
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.

Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.

Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.

US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates

Wamekunywa na kuvimbiwa damu za Wapalestina, Sasa wametosheka.
 
Israel iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,

Hili Dunia siielewi.
Mi nachoelewa ndani ya mossad kuna intruder thus why kila walipokuwa wakienda wanakuta mateka wameondolewa muda huo huo ,lakin pia labda hawapo Gaza, pia tunil ni nyingi kias kwamba mpaka juzi wameuwa terrorist 150 wamegundua tena tunil northern Gaza kitu ambachu kinamaanisha bado tunil zipo ambazo hazijagunduliwa
 
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.

Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.

Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.

US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates

Antony Blinken is in Israel ahead of a UN vote on a US draft resolution, which calls for an immediate ceasefire in Gaza tied to the release of hostages held by Hamas.

Source https://www.bbc.com/news/live/world-68631712?src_origin=BBCS_BBC
 
Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
haitatokea kamwe kukawa na taifa la palestine kwenye hiyo ardhi na likadumu maana hakuna mpango kama huo aliyeumba hiyo ardhi.
 
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.

Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.

Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.

US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates

Kumbe ujanja wote bado haujajua huu mchezo unaendaje.

Hiyo ni namna ya kuiondoa Israel vitani bila aibu na bila masimango toka kwa Waarab na Wapalestina...na wewe bila kuelewa unashangilia.

Utaelewa lini haya mambo? Hata hilo azimio ukute limeandaliwa Israel na Kneset
 
Israel iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,

Hili Dunia siielewi.
Ile ilikuwa ni video game kama ile ya september 11 kule marekani ili kuuhadaa ulimwrngu kuwa wanajeshi bora. Usa na israel ndo mataifa yanayodanganya watu kuwa wako vizuri kijeshi kwa njia hiyo
 
Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.

Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.

Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.

US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates

Pole mkuu futuru kwanza.
 
Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
Haiwezekani kuunda taifa la Palestiniana, ni jambo gumu sana, Israel hawezi kurudisha maeneo aliyoyataka, labda jeshi la UN lipelekwe pale kupambana na Israel, bado Israel haiwezi kusalimu amri hapo ndo moto utawaka middle East. Unabii wa kwenye biblia inaendelea kutimia mbele ya macho yetu
 
Watu wa Gaza kila siku ndiye wanayemlilia.
Sisi wengine ndio huwa tunalaumu Saudia na vibaraka wengine lakini kwa hakika wengi wa wapalestina wanaohojiwa huwa wanataja walivyoumia au njaa ilivyowafanya na halafu wanamtaja Mungu.Si rahisi kusikia wakilaumu watu wa nje wala Hamas na mwisho huwa wanamtaja Allah kuwa ndiye wa kuwaokoa.
Majibu ndio sasa yanakuja kwa faida yao.
huyo mungu aliwatuma wateke na kumuua mtz asiye na hatia ?
 
Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
hiyo ni mara ya kwanza watu wa magharibi kudai ivyo ila mmesahau mara zote nyiny ndo mmekuwa wabinafsi
 
Back
Top Bottom