Sasaivi kinachofata ni kwamba Gaza itatawaliwa na wapalestina lakin vyombo vya usalama vitakuwa vya wayahudi kuanzia jeshi mpaka policeSpain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
Usichokijua ni kwamba BIBI alikuwa Yuko mbioni kuingiza ground forces Rafah ila Biden akamuomba atume delegation yake kwenda US ili wajadili namna Bora ya kuwaangamiza Hamas katka maeneo ya Rafah bila ground operation operation, pia kumbuka kwamba USA anaitambua Hamas kama kikundi Cha kigaidi kaa kwa kutulia yahayo yanafurahisha.Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.
Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.
Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.
US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates
Wewe ni mjinga Sana ,,kuupiga mskiti WA Aqsa ina maana wataka utueleze kuwa ni kuufuta uislam ulimwenguni .. kakae na hao mashoga wenzio WA kizayuni na kiamerika na kamwe hamtaufuta uislam ,,mskiti WA Aqsa ni nyumba ya Allah tukufu na ni eneo takatifu lililoahidiwa kurithiwa na waislam na pambizoni mwake ,, Allah alishataja hayo katika zaburi na taurati kuwa ni mirathi ya waislam na kamwe hawatoweza kuufuta uislam Bali ni mateso ya muda Tu halaf ahadi ya uislam kushinda ipo pale pale na mayahudi watafutwa na uislam utakuwa juu ,mpaka atakapohukumu molaIsrael maliza hao waarabu...nasubir ule msikiti wao upigwe bomu..biashara iishe!!
1. Leo umeukubali ukweli wenyewe "MPAKA SASA WATU WA GAZA WOTE NI HAMAS". Israel anapigana na hamas. Wakilipua mabomu kuwauwa wanawake na watoto kumbe wanawauwa wanachama wa hamas maana mtoto wa nyoka naye ni... au? 2. Hizo bado ni mbwembwe tu. Yahudi hamsikilizi yeyote. Kesi ya ICJ inaendeleaje? maamuzi yake ni lini?Mpaka sasa watu wa Gaza wote ni Hamas.Watafanya kufru kubwa kwenye kuua na hawatawamaliza
Kiufupi Israel ilishapiga nchi zote za kiarabu zilizokuwa zinapigana nao miaka hiyo wakateka eneo kubwa Sana la misri at that time walikuwa na uwezo wa kubomoa alqasa na hakuna mtu angeongea kitu lakin waliuacha ule msikiti, kwahiyo kimsingi hauna issue Sana na hata hekalu la kwo halikuwa paleWewe ni mjinga Sana ,,kuupiga mskiti WA Aqsa ina maana wataka utueleze kuwa ni kuufuta uislam ulimwenguni .. kakae na hao mashoga wenzio WA kizayuni na kiamerika na kamwe hamtaufuta uislam ,,mskiti WA Aqsa ni nyumba ya Allah tukufu na ni eneo takatifu lililoahidiwa kurithiwa na waislam na pambizoni mwake ,, Allah alishataja hayo katika zaburi na taurati kuwa ni mirathi ya waislam na kamwe hawatoweza kuufuta uislam Bali ni mateso ya muda Tu halaf ahadi ya uislam kushinda ipo pale pale na mayahudi watafutwa na uislam utakuwa juu ,mpaka atakapohukumu mola
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Israel iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,Israel ilishasema kuwa kama wanataka vita isimame kabisa walete mateka,
Wamekunywa na kuvimbiwa damu za Wapalestina, Sasa wametosheka.Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.
Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.
Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.
US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates
Mi nachoelewa ndani ya mossad kuna intruder thus why kila walipokuwa wakienda wanakuta mateka wameondolewa muda huo huo ,lakin pia labda hawapo Gaza, pia tunil ni nyingi kias kwamba mpaka juzi wameuwa terrorist 150 wamegundua tena tunil northern Gaza kitu ambachu kinamaanisha bado tunil zipo ambazo hazijagunduliwaIsrael iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,
Hili Dunia siielewi.
Antony Blinken is in Israel ahead of a UN vote on a US draft resolution, which calls for an immediate ceasefire in Gaza tied to the release of hostages held by Hamas.Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.
Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.
Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.
US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates
haitatokea kamwe kukawa na taifa la palestine kwenye hiyo ardhi na likadumu maana hakuna mpango kama huo aliyeumba hiyo ardhi.Spain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
Taifa takatifu kinasapot mapenzi ya jinsia mojaUshindi utaenda Kwa Israel, taifa lake takativu na watu wake. Nani aliwatuma Hamas wateke watu?
Kumbe ujanja wote bado haujajua huu mchezo unaendaje.Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.
Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.
Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.
US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates
Hata sikiliza chchote nani? Nanl kakudangaya muisrael anaweza kusimama mwenyewe bila marekani?Na hawatasikiliza chochote!
Kinachofanyika hapo Gaza, Ni Mungu tu ajuaye!
Wengenewe jitahidini sana kumrudia Mungu na ama muendelee kuziba masikio na kupuuza haya
Ile ilikuwa ni video game kama ile ya september 11 kule marekani ili kuuhadaa ulimwrngu kuwa wanajeshi bora. Usa na israel ndo mataifa yanayodanganya watu kuwa wako vizuri kijeshi kwa njia hiyoIsrael iliwahi piga kiguu na njia mpaka Uganda kufuata mateka,hili Leo Israel hatua kadhaa TU imeshindwa kuwapata mateka Kwa mtutu inasubiria iletewe mezani,
Hili Dunia siielewi.
Pole mkuu futuru kwanza.Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka.
Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani tu iliyopiga kura ya veto kupinga azimio hilo.
Kipengele kilichosimamiwa na Marekani wakati huo kwa kufuata misimamo ya Israel ilikuw ni kuunganishwa na kuachiwa kwa mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kwamba muda haukuwa muwafaka kwa kuitaka Israel kusitisha vita kwani kungewapa ushindi Hamas.
Katika siku za karibuni misimamo mikali ya Benjamin Netanyahu imemuudhi sana raisi Biden wa Marekani .Ikiunganishwa na ukatili wa kuzuia chakula na kuua ovyo kunakofanywa na Israel huenda ni miongoni mwa sababu zilizopelekea nchi hiyo kubadilisha nia yake.
US pushes UN resolution calling for 'immediate and sustained cease-fire': Live updates
Haiwezekani kuunda taifa la Palestiniana, ni jambo gumu sana, Israel hawezi kurudisha maeneo aliyoyataka, labda jeshi la UN lipelekwe pale kupambana na Israel, bado Israel haiwezi kusalimu amri hapo ndo moto utawaka middle East. Unabii wa kwenye biblia inaendelea kutimia mbele ya macho yetuSpain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.
huyo ni shetaniHuyo Mungu ndiye tunayemtegemea na ndiye atakayebadili kila kitu kuwa ushindi kwa anayedhulumiwa.
huyo mungu aliwatuma wateke na kumuua mtz asiye na hatia ?Watu wa Gaza kila siku ndiye wanayemlilia.
Sisi wengine ndio huwa tunalaumu Saudia na vibaraka wengine lakini kwa hakika wengi wa wapalestina wanaohojiwa huwa wanataja walivyoumia au njaa ilivyowafanya na halafu wanamtaja Mungu.Si rahisi kusikia wakilaumu watu wa nje wala Hamas na mwisho huwa wanamtaja Allah kuwa ndiye wa kuwaokoa.
Majibu ndio sasa yanakuja kwa faida yao.
wauliwe wapalestina wote wanapendaMpaka sasa watu wa Gaza wote ni Hamas.Watafanya kufru kubwa kwenye kuua na hawatawamaliza
hiyo ni mara ya kwanza watu wa magharibi kudai ivyo ila mmesahau mara zote nyiny ndo mmekuwa wabinafsiSpain,Ireland,Canada,Wamarekani na nchi nyingi wanaona bora liundwe taifa la Palestina ili papatikane suluhisho la kweli.
Hiyo kupiga haikuanza leo na kuna viongozi wengi wa wapalestina wameshauliwa huko nyuma na haikuwa lolote.