Si munavunja tufali kwa kiganja cha mkono na kupindisha walau nondoHivi Tanzania tumejipangaje kwenye cyber war?
Hakuna kitu kabisa Tanzania,JWTZ linachukua vijana waliopata one nzuri Tena PCM,PCB lakini wanashindwa kuwapeleka hata urusi au Israel maybe wakasomee maswala ya cyber ,Basi wawapeleke hata UDOM Kuna kozi ya CYBER hakuna ,lakini wenzetu mbele Wana CYBER WAR DOMAIN /COMMAND lakini sisi tunaishia kuwa na COMMAND 5 tu na resources watu tunaoHivi Tanzania tumejipangaje kwenye cyber war?
Mrusi anawatesa Sana hawa wazungu wa WesternWapuuzi tu hao Yaani tokea 2017Wameshindwa Kuwajua ndio wanaomba Msaada
Kuna uwezekano mkubwa sana sana kwamba Ukishafanikiwa kuwapatia taarifa, na ukawapa source codes za hacking program yako uliyotumia, ujue unakwenda na Maji!!! Hawakuwachi. Na hizo milioni 10 huzipati!!!IT wa bongo mchongo umedondoka. Waingie vitani kusaka miliyoni hizo
Ni ndogo kwani? Utakuta hata pension ya huyo whistle-blower haifiki huko.Usaidie kuokoa mabilioni kwa kupewa Dola milion 10
Urusi ndo nchi ya Kwanza yenye technology ya hali ya juu inafata iran then Korea ya kidukuUchaguzi wa USA Russia Katia mkono na hili pia duh,,, tunaposema kiteknolojia Urusi ipo juu hatueleweki
Kutokana na risk ya hiyo kazi Hilo dau ni dogoNi ndogo kwani? Utakuta hata pension ya huyo whistle-blower haifiki huko.