Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

Kiduku mwenyewe shida yake ni hela ko muda wote anawaza kudukua hela tu za mtandaoni.. mwenyewe rusia hana shida na hela mwenyewe anashida na miundombinu ya hawa jamaa wanaijiita mabeberu aka NATO... ila tukubali hawa jamaa Urusi vs North Korea wana akili ya kiwango cha juu sana..
 
Hivi Tanzania tumejipangaje kwenye cyber war?
Hakuna kitu kabisa Tanzania,JWTZ linachukua vijana waliopata one nzuri Tena PCM,PCB lakini wanashindwa kuwapeleka hata urusi au Israel maybe wakasomee maswala ya cyber ,Basi wawapeleke hata UDOM Kuna kozi ya CYBER hakuna ,lakini wenzetu mbele Wana CYBER WAR DOMAIN /COMMAND lakini sisi tunaishia kuwa na COMMAND 5 tu na resources watu tunao
 
Pole yao sana...

Sisi huku tunao hawa wa tume kwenye number hii, mara mganga wa kienyeji sijui kafanya nini...
 
IT wa bongo mchongo umedondoka. Waingie vitani kusaka miliyoni hizo
Kuna uwezekano mkubwa sana sana kwamba Ukishafanikiwa kuwapatia taarifa, na ukawapa source codes za hacking program yako uliyotumia, ujue unakwenda na Maji!!! Hawakuwachi. Na hizo milioni 10 huzipati!!!
 
Back
Top Bottom