Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

  • Mambo yamekuwa mambo !
  • Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth.
  • Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa
  • Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya ulinzi wa majini vya Marekani na washirika wake wameshindwa kabisa kuzuia mashambulizi ya Houth dhidi ya meli zenye mafungamano na Uiengereza,marekani na Israel na kupelekea kupigwa kila siku.Meli ya mwisho kupigwa ni hapo juzi ambapo meli moja inayomilikiwa na shirika la Uiengereza iliharibiwa vibaya na mabaharia wake kulazimika kuikimbia ili kujiokoa
  • US admiral says the fight against the Houthis in the Red Sea is the largest battle the Navy's fought since World War II

Nyingine mbili za marekani zimebondwa saa moja iliyopita
 
Sema tu haya mazungu Karne hizi yamepunguza hamu ya vita. Urusi kama angeamua kufunguka full mkoko Ukraine pasingekalika, hivyohivyo Kwa adui yake Marekani useme aonyeshe mazingaombwe yake pale Red sea hapatakalika. Haya mataifa mawili Yana nguvu kubwa sana za kijeshi Duniani.
Marekani asingekua anaomba kolabo ulaya na Australia kila anapoingia vitani
 
Nyingine mbili za marekani zimebondwa saa moja iliyopita
Vile kupigwa kumbe imekuwa kama wamechokoza nyuki.
Mimi nahisi kama Mrusi tayari kaingia kwani teknolojia wanazotumia sasa kushambulia hata Iran hawajazifikia.
 
mzee acha kujitekenya ayo mameli ya kimarekani yapo apo redsea hatuja wahi sikia hata moja imezamishwa mna tegea za kiraia ndo zinashambuliwa hao houthi hawana tofauti na kijibwa koko cha kwa mtogole
Houthi walitangaza kupiga meli za mizigo zenye mafungamano na Israel,walipoanza uingereza na marekani wakapiga makombora houthi,houthi wakaunganisha meli za mizigo za uingereza na marekani,jana wamepiga ya uingereza Leo wamepiga mbili za marekani,wewe Kama una hamu meli Vita ndiyo zizamishwe kapige wewe
 
Kuna shida wanzazuoni wa kiislamu wafundishe waislamu kutumia akili pia

Kwa mfano wanavamia Israel huku wanajua Marekani atawasaidia halafu wakitwangwa na wao na wake zao na watoto wao kuuawa baada ya kuchokoza Israel wanakuja na kelele ohh Israel bila Msaada wa Marekani tungemtandika barabara asingetupiga

Sasa kama Unajua kuwa Ukichokoza Israel Marekani atakuja Kwa Nini uanzishe vita wakati Israel haijaanzisha vita na wewe kama Ile October 7 waisrael walikuwa hawana mipango wa kuvamia Mtu walikuwa tu kwenye sherehe Yao ya kidini

Hamas wakalianzisha hawakujua kuwa Marekani watawasaidia Israel?

Wajinga sana unavamia muisrael akianza kukuua na kuua familia Yako akisaidiwa na Marekani unaanza miyowe ohh bila Marekani tungemtandika Israel Hadi basi .Wavaa kobazi akili hawana ziko kwenye makalio
Wewe nae hemu lala upumzike....hivi kwa akili yako nani anaweza akawaza haya uliyoyaandika( ku foresee consequences) huwezi ukaanza kufanya rational judgement juu yako wakati kichwani una ahadi ya kwenda kufanya ngono na wasichana bikira 72 huko peponi. Wew assume kazi ni Moja tu kupigana miti usiku na mchana bila kikomo( endless)
 
Hapo Marekani anatafuta uhalali wa kutaka kutumia nguvu kupita kiasi akianza kuua wake na watoto wa hao wa Houthi kuwa hao wa Houthi wamejificha kwenye kiliniki za waja wazito na watoto msije kupiga yowe humu

Hapo wanataka Bunge liidhinishe kipigo Cha mbwa Koko Kwa wahouthi na ziidhinishwe silaha nzito
Una akili sana
 
Sijui unazungumza nini hapo.
Marekani kila siku wanapiga kwa silaha nzito walizonazo kupiga kila penye maslahi na wewe bado unaona si vita.
Juzi kati Marekani alipiga targets ndani ya Iraq na Syria Je Marekani yuko vitani na Iraq na Syria?
 
Sasa mzungu na vita za kurushiana 'majini' ataweza wapi kwa mwarabu.
 
Houthi walitangaza kupiga meli za mizigo zenye mafungamano na Israel,walipoanza uingereza na marekani wakapiga makombora houthi,houthi wakaunganisha meli za mizigo za uingereza na marekani,jana wamepiga ya uingereza Leo wamepiga mbili za marekani,wewe Kama una hamu meli Vita ndiyo zizamishwe kapige wewe
embu inamankusweke kwanza uondoe ilo wenge ulilo nalo kijana

hao houthi kama wana ubavu wazamishe lidubwasha limoja wapo katika zile aircraft carrier zinazo rusha ile midubwana inayo kwenda kupiga yemen na kurudi
 
  • Mambo yamekuwa mambo !
  • Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth.
  • Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa
  • Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya ulinzi wa majini vya Marekani na washirika wake wameshindwa kabisa kuzuia mashambulizi ya Houth dhidi ya meli zenye mafungamano na Uiengereza,marekani na Israel na kupelekea kupigwa kila siku.Meli ya mwisho kupigwa ni hapo juzi ambapo meli moja inayomilikiwa na shirika la Uiengereza iliharibiwa vibaya na mabaharia wake kulazimika kuikimbia ili kujiokoa
  • US admiral says the fight against the Houthis in the Red Sea is the largest battle the Navy's fought since World War II

Na Bado Hadi Israel waombe poo
Screenshot_20240220-080034.jpg
Screenshot_20240220-080210.jpg
 
embu inamankusweke kwanza uondoe ilo wenge ulilo nalo kijana

hao houthi kama wana ubavu wazamishe lidubwasha limoja wapo katika zile aircraft carrier zinazo rusha ile midubwana inayo kwenda kupiga yemen na kurudi
Hilo linawezekana kwa sababu Houth wameshaanza kutumia droni za baharini na Marekani haina teknolojia ya kuzizuia mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom