Anamaanisha kwa sheria za nato mwanachama akiingia vitan nato wote wanatakiwa wasupport.. point yake ni kuwa marekan hajatangaza vita na houth.. marekan alitangaza vita na libya kumuondoa Ghadafi na Nato wakaingia same to Sadam..
Marekan akitangaza vita na Houth asubuh tu utaona jet fighter za Us, Uk, germany na wengi wote no question ask..
Kwa kukuelewesha vita ya The so called UN/Nato dhidi ya kumuondoa ghadafi ni marekan (presidaa obama ) ndo alitangaza kwa kisingizio anaua raia wa libya so marekan anaenda kulinda wa raia wa libya..
Na akaingia akatangaza no fly zone kwenye space ya libya.. imagine rais anapigwa ban kwenye anga lake akiwa ndan sembuse hao Houth ambao wana attack kila meli kuanzia za us, euro. Za Asia.. so marekan akitangaza vita na Houth ni rais kupata sopoti and it will be an esy war.. atampiga tokea saudi tokea baharini tokea yemen upande wa govt..
So bila kujali Nan ana haki maana wote wanamakosa (houth and us na wenzie) maana watakaoumia ni raia wa kawaida wa yemen. nchi yenyewe tayari ina vita mwaka wa kumi huu ..
Ila Houth hayuko same league na Us ..