Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

Nyingine mbili za marekani zimebondwa saa moja iliyopita
 
Marekani asingekua anaomba kolabo ulaya na Australia kila anapoingia vitani
 
Nyingine mbili za marekani zimebondwa saa moja iliyopita
Vile kupigwa kumbe imekuwa kama wamechokoza nyuki.
Mimi nahisi kama Mrusi tayari kaingia kwani teknolojia wanazotumia sasa kushambulia hata Iran hawajazifikia.
 
mzee acha kujitekenya ayo mameli ya kimarekani yapo apo redsea hatuja wahi sikia hata moja imezamishwa mna tegea za kiraia ndo zinashambuliwa hao houthi hawana tofauti na kijibwa koko cha kwa mtogole
Houthi walitangaza kupiga meli za mizigo zenye mafungamano na Israel,walipoanza uingereza na marekani wakapiga makombora houthi,houthi wakaunganisha meli za mizigo za uingereza na marekani,jana wamepiga ya uingereza Leo wamepiga mbili za marekani,wewe Kama una hamu meli Vita ndiyo zizamishwe kapige wewe
 
Wewe nae hemu lala upumzike....hivi kwa akili yako nani anaweza akawaza haya uliyoyaandika( ku foresee consequences) huwezi ukaanza kufanya rational judgement juu yako wakati kichwani una ahadi ya kwenda kufanya ngono na wasichana bikira 72 huko peponi. Wew assume kazi ni Moja tu kupigana miti usiku na mchana bila kikomo( endless)
 
Una akili sana
 
Sijui unazungumza nini hapo.
Marekani kila siku wanapiga kwa silaha nzito walizonazo kupiga kila penye maslahi na wewe bado unaona si vita.
Juzi kati Marekani alipiga targets ndani ya Iraq na Syria Je Marekani yuko vitani na Iraq na Syria?
 
Sasa mzungu na vita za kurushiana 'majini' ataweza wapi kwa mwarabu.
 
embu inamankusweke kwanza uondoe ilo wenge ulilo nalo kijana

hao houthi kama wana ubavu wazamishe lidubwasha limoja wapo katika zile aircraft carrier zinazo rusha ile midubwana inayo kwenda kupiga yemen na kurudi
 
Na Bado Hadi Israel waombe poo
 
embu inamankusweke kwanza uondoe ilo wenge ulilo nalo kijana

hao houthi kama wana ubavu wazamishe lidubwasha limoja wapo katika zile aircraft carrier zinazo rusha ile midubwana inayo kwenda kupiga yemen na kurudi
Hilo linawezekana kwa sababu Houth wameshaanza kutumia droni za baharini na Marekani haina teknolojia ya kuzizuia mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…